Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 20,353
- 38,585
Baada ya kuisha kwa uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 niliirudisha kadi yangu ya kupigia kura kwenye kijamanda changu na kama MUNGU atanipa maisha ya kuufikia uchaguzi mwingine tena wakati wowote kuanzia sasa, nitakwenda kupiga kura na kwa hakika KURA yangu hiyo nitapiga TENA dhidi ya CCM!
SIJATUPA KADI YANGU YA KUPIGIA KURA!!
SIJATUPA KADI YANGU YA KUPIGIA KURA!!