vampire123
JF-Expert Member
- Apr 17, 2016
- 1,285
- 820
Naombeni ufumbuzi tangu majibu ya second selection yatoke nili request confirmation code tangu jana ambapo mpaka leo hii sijatumiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vuta subira watakutumia,ama wapigie namba zao zipo .Naombeni ufumbuzi tangu majibu ya second selection yatoke nili request confirmation code tangu jana ambapo mpaka leo hii sijatumiwa
Nipe namba zaoVuta subira watakutumia,ama wapigie namba zao zipo .
Ingia website ya chuo husika utazipataNipe namba zao
Mi mwenyewe sinaNinaomba namba zao.
Sio
Nipe namba zao.
Atakua nazo admission officerMi mwenyewe sina
Sasa bado sipo chuo aliyekuwa nazo naombaAtakua nazo admission officer
Bado upo dar kwa shemeji yako?Sasa bado sipo chuo aliyekuwa nazo naomba
Hapana nipo kwa dada akoBado upo dar kwa shemeji yako?
Mkuu kila kitu utafutiweIngia website ya chuo husika utazipata
Bila shaka hauna shidaNipe namba zao
Namba zao ni za mezani tu kakaBila shaka hauna shida
Kwahy umewapigia kupata msaada ama!?Namba zao ni za mezani tu kaka
Tumia email au SMS ndo option ya mwishoNamba zao ni za mezani tu kaka
Unafanya nini kwa dada yangu Tena?Hapana nipo kwa dada ako
Nipo nae kitandaniUnafanya nini kwa dada yangu Tena?
Ooh! Mume wake akikumata utajiteteaje sasa mkuu?Nipo nae kitandani
Si ndio mm sasa nitajikamatajeOoh! Mume wake akikumata utajiteteaje sasa mkuu?
Hee! TobaSi ndio mm sasa nitajikamataje