hakutaka kumtaja mhusika mkuu wa ushenzi/uhuni aliouongelea.Nimeangalia kwa umakini sana, Ila sijaridhishwa kabisa na mkutano wake.
Mimi sio mwanasiasa ila sijajua point yake kubwa ya kufanya vile ni nini?
Hana mpangilio na anachozungumza, ni kama alikuwa anatoa kinyongo. What was the point? Kisha mwisho maamuzi yake ni nini?
Aliyeelewa anipe anieleweshe.
Polepole ni SUKUMA GANG tofauti ya yeye na wenzie ni kwamba wenzie wamesha heal ila yeye alifichwa mbali Burundi mara Cuba kwahiyo ndio ana heal hapoKama heading tu unakosea siyo rahisi kuelewa mada ya huyo Polepole 🐼
Mkuu mbona kataja mgombea uraisi wa ccm?? Au ilibidi amtaje vipi?hakutaka kumtaja mhusika mkuu wa ushenzi/uhuni aliouongelea.
Mbumbumbu kama wewe utaelewaje?Sisi wenye akili tumemwelewa sana.Nimeangalia kwa umakini sana, Ila sijaridhishwa kabisa na mkutano wake.
Mimi sio mwanasiasa ila sijajua point yake kubwa ya kufanya vile ni nini?
Hana mpangilio na anachozungumza, ni kama alikuwa anatoa kinyongo. What was the point? Kisha mwisho maamuzi yake ni nini?
Aliyeelewa anipe anieleweshe.
Ndio nachoulizahakutaka kumtaja mhusika mkuu wa ushenzi/uhuni aliouongelea.