Sijapata unyumba kwa mke wangu miezi sita sasa

Akia
Sio njia mbadala hii...

Muhimu ongea nae, mweleze tu kwa upole akiwa kwny mood nzuri. Mwambie jinsi unavyommiss, na jinsi unatamani kumrutubisha huyo ajaye, na madhara ya kukusababisha uchepuke wakati yeye yupo na hutaki umkosee. Atakuelewa tu mkuu.

Hzo mood swing za wajawazito zivumilie

Wakuu Salaam.

Naomba kujifunza kutoka kwa wanandoa wenzangu ambao mmeshakutana na hii hali.

Nimeoa miaka kadhaa iliyopita na tumejaaliwa watoto wawili katika ndoa yetu na hivi sasa mke wangu ana ujauzito wa mtoto wetu wa tatu.

Katika mimba zake zote mbili zilizotangulia hasa ya kwanza alikuwa anapenda sana tendo la ndoa hadi mwezi wa kujifungua.Nakumbuka ilikuwa kama siku nikishinda nyumbani basi tuliweza kufanya hata mara kumi. Hadi ilifika mahali nilihisi ananizidi pumzi kwenye mechi ikanibidi nijifunze mbinu za kumudu mwendo mrefu ndipo nikafanikiwa kwenda nae sawa.

Alfajiri kabla hatujaamka ilikuwa lazima nimpe huduma, akinywa chai tu ananiita mechi inachezwa hadi muda wa lunch. Jua likipoa kidogo tunapiga tena mechi, saa kumi na mbili tunatoka tunakata mitaa kidogo tukiingia kulala mechi inapigwa tena na humo katikati ya usiku naamshwa mechi inapigwa vizuri tu. Kumbuka nilikuwa tayari nimepata darasa na uzoefu wa kumudu huo mchaka mchaka na nikawa naenjoy sana.

Aliposhika mimba ya pili hali iliendelea hivyo japo haikuwa kwa kasi ile ya mimba ya kwanza.

Sasa hivi ana mimba ya miezi mitano ya mziwanda wetu anaenda wa sita lakini tangu wiki ya kwanza ya ujauzito hadi leo hataki hata nimguse. Kifupi tunalala mzungu wa nne. Kila siku anasema yuko vibaya. Najitahidi kumuelewa na kumsaidia amalize safari yake salama bila kumsumbua lakini kiu ya tendo niliyo nayo ni kama mlevi aliyezuiwa na daktari kunywa pombe hadi apone.

Swali langu, Je hii ni kawaida? Ni njia gani bora ya kufanya ili kuvuka kipindi hiki kigumu kwa sisi wanaume waaminifu kwa ndoa zetu?

NB:
Tunalala mzungu wa nne kila mtu na shuka lake ili tusigusane kabisa maana kiu niliyonayo hata tukigusana miguu tu mimi nakuwa na hali mbaya kabisa.

Napenda kusikia kutoka kwa watu waaminifu kwa ndoa zao hasa wanaume mliopitia changamoto hii mlifanyaje.

Naomba kuwasilisha.

"Watoto" najua mpo humu itapendeza mkikaa kimya wakubwa wanapojadili mambo ya kikubwa.[/QUOT. Kama hakuelewi tumia Indirect speech weka kanda ya EX kisha unatuliaa husemi kitu unaakilizia miguno lazima atasense muda wowote utachukua maamuzi magumu lazima akuwahi kumkagua Mziwanda tu.
 
Amekuchoka......we mechi zote hizo!? Anataka ufanye kazi saivi....unapiga mechi mara 10 kwa siku!! Khaaa!!
 
IMG-20180112-WA0002.jpg
 
Ila wanaume kaz mnayo maan kitu kikidinda kulala ni kaz hayo maumivu yake sasa mishipa inaumaje jisahaulishe tu mvumilie ajifungue tu salam utaendelea kumla kam zamani yashinde tu majaribu afu jikeep busy na vitu vingi saan fany mazoezi saaana ikiwezekan chelewa had kulala ili ukiingia kulala uwe umechoka unalala hugus mtu
 
Back
Top Bottom