Sijapata unyumba kwa mke wangu miezi sita sasa

Mimba ya 3 ndo awe na visa vya aina hii..!!? Kwa uhakika nakuambia hakuna kitu km hicho..! Ukweli ni kwamba kuna tatizo zaidi nje ya hayo unayowaza..! Kwa miezi yote hiyo ambayo hajakupa na hana matatizo ya kiafya,anakula anashiba,familia ina amani hata kwa 51% tu,hawezi kukosa hamu ya tendo la ndoa..labda km hizo sababu hapo juu ni kinyume chake! Km hana hizo shida,maana yake kwa 10000% anapigwa nje na kibaya zaidi..huenda hata hiyo mimba siyo yako..mkeo atakuwa amefanyia kazi ule utafiti wa kila watoto 3 mmoja siyo wako...! Au mimba inaweza kuwa yako lkn kuna jamaa limedanganywa kuwa ni yake na ndo linapewa hiyo huduma na mkeo anatumia hiyo mimba kujilinda kwako.

Ushauri: mchunguze mkeo km hana hizo shida lazima anachepuka! Zingatia hilo neno nililotumia "Lazima".
 
Tangu wiki ya kwanza hujafanyanaye sex!!? Huku ni kushikwa na mwanamke, kumnyenyekea kulikopitiliza, kujitoa ufahamu yakuwa wewe ni mumewe na tendo la ndoa ni haki yako usipopewa unatakiwa kuidai hata kwa nguvu. Kwa sasa umeshachelewa maana huwezi tena kumlazimisha kwa usalama wa mziwanda wenu. Umetoka kuchepuka kwa miezi 6 unachokaje kumaluzia miezi 3 iliyobaki au ndio january vyuma vimekaza?
 
watoto wawili wa kwanza nahisi ni wa kike, huyo atakuwa dume mzee. Like poles repel, unlike poles attract. Hata usimsumbue, akijifungua utanielewa ninachomaanisha. Atakuomba msamaha yataisha
 
Yani heading na kilichomo tofauti...nilifikiri hajakupa miezi 6 toka muoane..kumbe ni mimba tu...kumbe mimba za mwanzo alikua anakupa ushirikiano..mzee we kua mvumilivu ajifungue si mkeo huyo? Basi mvumilie ...hizo ni mood swings tu za ujauzito huo ...bora hata wewe unalala nae kitanda kimoja ..wengine hawatak hata kuwaona waume zao..hata harufu yake hatak kuisikia ....usitafute sababu za ugomvi we endelea kumjali.
 
kwani hao watoto wa mwanzo ni wa kike wote! maana nimewahi kusikia mwanamke akibeba mimba ya mtoto wa kike anakuwa na hamu sana na mechi and viceversa is true
 
Mkuu huo ni muda mfupi sana mi mwenzio wife akiwa preg bas sikutani nae hadi baada ya kujifungua almost ni mwaka yani miez tisa ya preg jumlisha mitatu baada ya kujifungu. Ni uvumilivu tu unahitajika
 
Watalaam wa hizi mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…