assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
Yote usemayo ni hasira zakuzuiwa ufisadi mnaofanya stay tune tunautoa mwingine
...chadea ndo chama kipya?
cuf wanaserkali ya umoja wa kitaifa
nccr mageuzi mh mbatia ni msomi anaweledi adi rais kumteua kua mbunge
Hizo ulizotaja hapo juu ni dalili za chama kuanza kujifahamu zaidi, kukua na kukomaa. Kama ni chama hovyo, chama "makini" cha sisiemu kisingekuwa na presha kila kikisikia chadema.
Chadea ni chama la ovyo kabisa halina hata usajiliASHAKUM SI MATUSI CJAPATA ONA CHAMA HOVYO KAMA HIKI.
UKIIANGALIA CUF AMA NCCR ni vyama upinzani makini
1 hawalalamiki ovyo
2 wanafahamu sheria za uchaguzi
3 hawana press release za kila dakika
4 havipendi fujo wala maandamano yasio na tija
5 kuitambua serikli iliopo na kufanya nao kazi
6 uwepo wa demokrasia ndani ya vyama
7 matumizi mazuri ya ruzuku
8 viongozi wake ni wasomi na wenye vision
kwa uchache ukiwaangalia CHADEMA
UTAONA NI CHA HOVYO KABISA.
Mkuu assadsyria3 Mimi sipo chama chochote kile hapo nyumbani mimi ni M-Tanzania halisi ila nina kukosoa kidogo cha cha upinzani kukikosowaASHAKUM SI MATUSI CJAPATA ONA CHAMA HOVYO KAMA HIKI.
UKIIANGALIA CUF AMA NCCR ni vyama upinzani makini
1 hawalalamiki ovyo
2 wanafahamu sheria za uchaguzi
3 hawana press release za kila dakika
4 havipendi fujo wala maandamano yasio na tija
5 kuitambua serikli iliopo na kufanya nao kazi
6 uwepo wa demokrasia ndani ya vyama
7 matumizi mazuri ya ruzuku
8 viongozi wake ni wasomi na wenye vision
kwa uchache ukiwaangalia CHADEMA
UTAONA NI CHA HOVYO KABISA.
Unakumbuka lakini wnzi hizi!Naona homa ya jumapili imeanza kupanda na meanza kujitoa mwakahuu tumewapiga chini mevimba juu nyie mikono ya sweta
Mkuu assadsyria3 Mimi sipo chama chochote kile hapo nyumbani mimi ni M-Tanzania halisi ila nina kukosoa kidogo cha cha upinzani kukikosowa
chama kinacho tawala ndio Demokrasia yenyewe hiyo. Pasipo na kuwa na chama cha upinzani kukikosoa chama kinacho tawala hakutakuwa na Maendeleo katika nchi yetu. Kwa mfano Amerika kuna vyama viwili vikubwa Chama cha Rais Obama Chama cha Democratic Party, na chama
cha Upinzani chama cha Republican Party. Sasa kukiwa na kasoro kwenye chama tawala cha Rais Obama akikosea kitu anaye mkosoa ni chama cha Upinzani yaani chama cha Republican Party. Hiyo ndio Demokrasia ya ukweli na Maendeleo yanapatikana hapo pasipo na kukosoana kwa vyama hakuna maendeleo mkuu ninakuacha hapa kwa leo.
Chadea ni chama la ovyo kabisa halina hata usajili
Sijapata kuona chama kinachonuka rushwa kama CCM. Mpaka Ikulu yote inanuka rushwa.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/508612-dr-limbu-ikulu-inanuka-rushwa-balaa.html
Unakumbuka lakini wnzi hizi!