Isalia JF-Expert Member Joined Nov 3, 2011 Posts 1,211 Reaction score 435 Dec 26, 2011 #1 Kunajamaa anatoka mbali sana na mji akaja kutembea mjini mwenyeji wake akanunua vocha na kumpa amtilie kwenye cm yeye akishughulika na mambo mengine baada ya muda anarudishiwa cm na vocha na kuambia cjaona tundu ya kulia hichi kikaratac chako
Kunajamaa anatoka mbali sana na mji akaja kutembea mjini mwenyeji wake akanunua vocha na kumpa amtilie kwenye cm yeye akishughulika na mambo mengine baada ya muda anarudishiwa cm na vocha na kuambia cjaona tundu ya kulia hichi kikaratac chako
Jaguar JF-Expert Member Joined Mar 6, 2011 Posts 3,440 Reaction score 1,029 Dec 26, 2011 #2 Asilaumiwe,hata mtihani una-instructions.
Jeji JF-Expert Member Joined Jun 28, 2011 Posts 1,973 Reaction score 372 Dec 26, 2011 #3 bora aliamua kuwa mkweli.
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,559 Reaction score 11,496 Dec 26, 2011 #4 Teh kwa mazingira alikotoka ni sawa kulikosa tundu hii sio ya kujua by nature km nanii...hii lazma ufundishwe.
Teh kwa mazingira alikotoka ni sawa kulikosa tundu hii sio ya kujua by nature km nanii...hii lazma ufundishwe.