Sijaona tanzania kwenye hii list

Sijaona tanzania kwenye hii list

NDEO

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2011
Posts
813
Reaction score
189
The poor record of some African nations on bribery stands out. Sierra Leone has the highest number of respondents admitting to having paid a bribe - 84% - and seven out of nine of the countries with the highest reported bribery rate are in sub-Saharan Africa. See the list below. The countries with the lowest reported bribery rate are Denmark, Finland, Japan and Australia, they all have a bribery rate of 1%.

InteractivePopulation who have paid a bribe
27% world average
Top countries:
1. Sierra Leone 84%
2. Liberia 75%
3. Yemen 74%
4. Kenya 70%
5. Cameroon 62%
5. Libya 62%
5. Mozambique 62%
5. Zimbabwe 62%
9. Uganda 61%
 
Ukiona Tanzania haimo basi tuko clean kwa kiasi fulani. Ila vi-nchi kama Rwanda ni vidogo mno na idadi ya watu ni ndogo mpaka unaweza ukaishia kutoa rushwa hadi kwa watoto wako maana ni wachache ile mbaya!!!
 
Labda ndio ilikuwa na number 10 hiyo
 
Wanaficha ficha tu kwa kuwa obama kaja hapa, kuficha uchafu wetu kama tulivyodeki barabara mpaka hela zikaisha hazina
 
Wanaficha ficha tu kwa kuwa obama kaja hapa, kuficha uchafu wetu kama tulivyodeki barabara mpaka hela zikaisha hazina

Sijawahi kuona tangu niingie jiji hili la Dar es Salaam barabara kupigwa deki!!! Imewezekanaje kwenye ujio wa Obama, kumbe ajira zipo basi tu wanabania hizi nafasi maana wale ambao hawana kazi wangeweza kupata hii ajira ya kusafisha jiji!
 
Labda ndio ilikuwa na number 10 hiyo
A. Bahati
Kwa wale waliopata kuishi nchi jirani km Kenye na Uganda hapana shaka sisi tunawazidi kwa utoaji rushwa katika mapito ya huduma za kawaida.Yawezekana watanzania wengi
hawakurespond kwa sababu ya hofu ya kung'olewa kucha na meno wakibainika kuituhumu system. Au ni sawa tu hili sio kundi letu, wafanye utafiti wa rushwa kabwa na ufisadi wa kimfumo muone tunavyoshika namba ya juu kama Mesi!
 
TATIZO WATU WAMEZOEA KULALAMA TUU WAKATI KUNA SOURCE KIBAO ZINAZOELEZEA HALI YA UMASKINI DUNIANi
 
Yan tumehonga hadi hao waliondaa hizo takwimu tusiwe kwenye hiyo list

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Yan tumehonga hadi hao waliondaa hizo takwimu tusiwe kwenye hiyo list

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Wakenya wenyewe kwenye bandiko la Jua Cali katika fb wanasema wao wanataka wawe wa kwanza kwenye hiyo list, nilicheka sana!
 
Mm nafikiri wamesahau katika list maana wameishia namba tisa ss namba kumi
 
Jamani, we have to change our mindset. Nchi ni nchi. Nchi ndogo na kubwa ni nchi. Tanzania ni nchi ya 23 kwa ukubwa Africa. Mbona hizo kubwa kwake hazina rushwa?! Je, Rais wetu aende kuwa DC ili aondoe rushwa huko kwanza!?
Rushwa na uongozi hauhitaji nchi kubwa au ndogo bali uongozi imara unaosimamia sheria na kutoa matumaini kwa wananchi!
Tuache kushabikia UJINGA!
 
Kwenye RED HAPANA nchi yetu ni kubwa kuliko nchi nyingi tu hata kwa vigezo vya dunia. Ni ya 13 kwa Afrika, duniani ya 39 na kama mama Tibaijuka akifanikiwa kuongezewa eneo la bahari twaweza kuwa ndani ya 10 bora. BOFYA HAPA Size of African Countries.

Pia mdau alosema sisi tunawazidi wakenya kwa rushwa namwomba akarudie utafiti wake haraka wale ni majanga labda Uganda sina data.
 
Back
Top Bottom