Hivi mkuu Mshana unaweza kuukata mkono unaokulisha? Wafadhili wakubwa wa CCM ni wale mapapa wa biashara hii ya madawa ya kulevya.Walau wasingepitiwa na hili janga la taifa linaloangamiza kizazi cha kesho ambacho ndio nguvu kadi tegemewa ya taifa
Je ni kupitiwa ama kwakuwa wamehamanika?View attachment 3457124