Sijaona kosa la Rais Magufuli kujenga kiwanja cha ndege Chato, hata Nyerere alijenga Musoma

Kiwanja cha ndege cha Musoma kipo 45 km toka Butiama,,kulikuwa na nini cha maana kujengwa uko Musoma. Ni ulahisisha tu kiongozi kwenda kusalimia nyumbani.
Ata Magufuri yupo sahihi kujenga kiwanja chato
Hii safi kwenda kusalimia nyumbani mwanangu una angusha international airport kijijini kwako. Musoma = Chato kihadhi. Tusubiri transport economists hapa.
 
Kiwanja cha ndege cha Musoma kipo 45 km toka Butiama,,kulikuwa na nini cha maana kujengwa uko Musoma. Ni ulahisisha tu kiongozi kwenda kusalimia nyumbani.
Ata Magufuri yupo sahihi kujenga kiwanja chato

Mpaka Mwl anafariki kulikuwa na kibarabara tu cha vumbi cha kushukia ndege. Sijafika Musoma miaka kadhaa, ila nasikia kibarabara hicho sasa hivi ndiyo kinabadilishwa kuwa uwanja wa ndege kwa kukiwekea lami. Inasemekana Chato kunajengwa uwanja wa ndege wa kimataifa kweli? Mwl hakufanya hivyo Musoma.
 
Kiwanja cha ndege cha Musoma kipo 45 km toka Butiama,,kulikuwa na nini cha maana kujengwa uko Musoma. Ni ulahisisha tu kiongozi kwenda kusalimia nyumbani.
Ata Magufuri yupo sahihi kujenga kiwanja chato
Fanya tu vizuri katika kazi zako watakuona na upewe cheo na sio kukurupuka na kuanza ongea vitu usivyo vijua.
Kwa kifupi nyerere hakujenga uwanja wa ndege wa musoma .uwanja huo ulikuwapo enzi ya ukoloni kama hujui.nikupe taarifa na musoma kipindi ile ulikuwa potential sana kiuchumu maana ilikuwa na viwanda vingi sana kwa wakati huo.kwa hiyo kilicho fanyika ilikuwa ni uboreshaji tu kwa usalama kwa wanaotumia uwanja huo.pili kiwanja chenyewe unachokiongelea runway yake haina lami ni vumbi tu mpaka Leo hii nakuambia pia hiyo runway ni fupi sana takribani 1½km sasa ni kauwanja kadogo sana.kasiko na na hadhi ya kiwanja cha ndege.haya uwanja wenyewe umepata kupingwa uzio sio zaidi ya miaka 12hivi.
 
Kwa hiyo kwako wewe, kigezo ni Nyerere!!!, kwani kosa akifanya mtu fulani linakuwa si kosa kwakua liliwahi kufanywa na Nyerere?.
 
39568c4c1f5f0242213c967a51a992d3.jpg
 
Kiwanja cha ndege cha Musoma kipo 45 km toka Butiama,,kulikuwa na nini cha maana kujengwa uko Musoma. Ni ulahisisha tu kiongozi kwenda kusalimia nyumbani.
Ata Magufuri yupo sahihi kujenga kiwanja chato

Hivi uwanja wa Musoma uko kwenye capacity ya International Airport au Airport ya kawaida kwa ndege ndogo??
 
Fanya tu vizuri katika kazi zako watakuona na upewe cheo na sio kukurupuka na kuanza ongea vitu usivyo vijua.
Kwa kifupi nyerere hakujenga uwanja wa ndege wa musoma .uwanja huo ulikuwapo enzi ya ukoloni kama hujui.nikupe taarifa na musoma kipindi ile ulikuwa potential sana kiuchumu maana ilikuwa na viwanda vingi sana kwa wakati huo.kwa hiyo kilicho fanyika ilikuwa ni uboreshaji tu kwa usalama kwa wanaotumia uwanja huo.pili kiwanja chenyewe unachokiongelea runway yake haina lami ni vumbi tu mpaka Leo hii nakuambia pia hiyo runway ni fupi sana takribani 1½km sasa ni kauwanja kadogo sana.kasiko na na hadhi ya kiwanja cha ndege.haya uwanja wenyewe umepata kupingwa uzio sio zaidi ya miaka 12hivi.

Hatuelewi kwamba baada ya huo uwanja kutumia mabilioni utakaa miaka zaidi ya 100 bado usiweze kurejesha hata nusu ya gharama zake.

In short hakuna value for money.Angeweka run away tu ingetosha na majengo standard yangekidhi haja yake ya ndege kutua na siyo kuweka International Airport wakati kuna mambo ya msingi TAIFA linahitaji na si Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa
 
Kiwanja cha ndege cha Musoma kipo 45 km toka Butiama, kulikuwa na nini cha maana kujengwa huko Musoma. Ni kurahisisha tu kiongozi kwenda kusalimia nyumbani.

Hata Rais Magufuli yupo sahihi kujenga kiwanja Chato.

Nyerere hakujenga INTERNATIONAL airport alijenga kiwanja cha kawaida. Kaangalie anachokifanya magu
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kiwanja cha ndege cha Musoma kipo 45 km toka Butiama, kulikuwa na nini cha maana kujengwa huko Musoma. Ni kurahisisha tu kiongozi kwenda kusalimia nyumbani.

Hata Rais Magufuli yupo sahihi kujenga kiwanja Chato.
Utaonaje ni kosa wakati unatoka chato? Tukiacha hilo pia, Kwani makao makuu ya mkoa wa Geita ni Chato?
 
Kama kajenga international airport hapo si sawa.
Utakumbuka na mukulu mwingine alitaka Jenga Bwagamoyo wakati Dar inapanuliwa.
Hapo Bunge liangalie
 
Kiwanja cha ndege cha Musoma kipo 45 km toka Butiama, kulikuwa na nini cha maana kujengwa huko Musoma. Ni kurahisisha tu kiongozi kwenda kusalimia nyumbani.

Hata Rais Magufuli yupo sahihi kujenga kiwanja Chato.
Acha ujinga kiwanja cha ndege hicho kilijengwa sambamba na ujenzi wa viwanja vya ndege kila mkoa hakukua na upendeleo wowote ule ndiyo maana hicho kiwanja hakikua na ubora mpaka ATC na ndege zingine zimesitisha kutua huko na endapo Nyerere angekuwa kajipendelea uwanja huo ungekuwa bora kuliko viwanja vyote nchini, kigezo chako cha kutaka kutumia mfano wa Nyerere hakina mashiko na hakiwezi kuwa kisingizio cha kuharalisha ujenzi wa uwanja mkubwa huko Chato.
 
Nyerere hakujenga INTERNATIONAL airport alijenga kiwanja cha kawaida. Kaangalie anachokifanya magu
Kiwanja cha huko kwao Nyerere ni kidogo sana kipo makao makuu ya mkoa hakina uhusiano na Nyerere, endapo Nyerere angeamua kujenga uwanja wa ndege mkubwa na bora angeujenga Butiama kwake ili watalii watue iwe rahisi kwenda Serengeti nk
 
Kama kajenga international airport hapo si sawa.
Utakumbuka na mukulu mwingine alitaka Jenga Bwagamoyo wakati Dar inapanuliwa.
Hapo Bunge liangalie
JK alitaka kujenga bandari kubwa Bagamoyo lakini uwanja wa ndege mkubwa alitaka ujengwe mkuranga nje ya mji kama Nchi nyingi wanavyofanya.
 
Back
Top Bottom