Sijaolewa kwasababu "ndoa za watu zinanivunja moyo"

Juzi ulikuja hapa na uzi kwamba upo kwenye ndoa ya miezi nane lakini unampenda boyfriend kuliko mume

Mods tunaomba aina ya watu kama huyu muwafungie kabisa maana wanaondoa credibility ya JF
Don't take matter too seriously on JF madam.!

A guy must be either shemale or femboy!!
 
Wadau mleta mada anahoja ya msingi, tuijadili tumsaidie!

Kuna ukweli ktk madai aloyasema!

Mbona wengi mmemu attack yeye binafsi badala ya kujadili hoja?

Matharani; madai kwamba wanawake wanaendekeza ujinga kwa kukubaliana na zana kuwa wanaume wote ni lazima wachepuke, Je hii ni kweli?

Je nini kifanyike?
 
Mm sijajolewa na natamani siku ifike nije nimpate wangu wa peke yangu atakaye nipenda kwa dhati ya moyo wake. Halafu atulie tuli. Bila hivyo siolewi.

Mpk sasa nina miaka 29, lkn kila nikitaka kuingia kwenye ndoa moyo unasita. Kwasabbb tangu nipevuke nimekuwa natongozwa na wanaume (lkn walio wengi ni waume za watu).

Sasa najiuliza inamaana na mm nikiingia kwenye ndoa mume wangu atakuwa anachepuka kama hawa? Sasa kama una mume halafu kucha kutwa anahaingaika na akina dada wa kitaa, nini maana yake?

Ndoa nn faida yake ikiwa hata ukiwa nayo mwenzi wako anachepuka?

Wanawake wengi wameridhika na ujinga huu. Ukiongea nao wanasema "wanaume ndiyo walivyo au wanaume hawaridhiki". Sasa kama hawaridhiki? Ndiyo nijiingize kwenye kitu hatari? Nikipata magonjwa je?

Kwa ujinga huu, siolewi.
Unatuuzia chai.
2457376_JamiiForums-621070314.jpg
 
Ndio maana unamshabikia Lisu kumbe huna akili.
 
Boss siku zote najuaga we ni me.
 
Mm sijajolewa na natamani siku ifike nije nimpate wangu wa peke yangu atakaye nipenda kwa dhati ya moyo wake. Halafu atulie tuli. Bila hivyo siolewi.
Huu ubinafsi watoto wa kike mtauacha lini ?

Hili haliwezekani kama kupata dawa ya kifo.

Mathalani mimi hapa nilipo nawaza kuongeza mke wa tatu.
 
Wadau mleta mada anahoja ya msingi, tuijadili tumsaidie!

Kuna ukweli ktk madai aloyasema!

Mbona wengi mmemu attack yeye binafsi badala ya kujadili hoja?

Matharani; madai kwamba wanawake wanaendekeza ujinga kwa kukubaliana na zana kuwa wanaume wote ni lazima wachepuke, Je hii ni kweli?

Je nini kifanyike?
Nini kifanyike?

Hakuna kitakachoweza kufanyika mpaka mwisho wa dahari.
Thing's gonna be worse than ever!!
 
Ukipata mtu atakayeweka nia juu yako kama ilivyokuwa kwa mumeo japo mapenzi yako yalikuwa kwa boyfriend, yazungumzie haya na ujue msimamo au mtazamo wake juu ya yote yanayokukwaza. Hapa JF unaweza ukazidi kukatishwa tamaa.
Kama wewe uliweza kufanya unategemea mwanaume atashindwa aje?
 
Njoo nikugonge halafu nikiona unajua kukata mauno mauno mauno nakuweka ndani.
 
Back
Top Bottom