Sijamwelewa Kipanya!

Kipanya anaweza kuwa anamaanisha huyo mama amelala usingizi mzito bila kujua analiwa, yaani anamezwa na chatu na hana habari!

By the time anashituka inaweza ikawa too late!
 
Kipanya anamaanisha huyo mama amelala usingizi mzito bila kujua analiwa, yaani anamezwa na chatu na hana habari!

Kipanya ni shida nimetafakari hii picha nikatoka kapa kabisa.
 
Hiyo katuni ni ya tarehe 13/4 kipindi hicho kina Malisa na chadema wanamdemkia mama hatari!

Sijui kipanya ali maanisha nini wakati ule.
 
Hiyo katuni ni ya tarehe 13/4 kipindi hicho kina Malisa na chadema wanamdemkia mama hatari!

Sijui kipanya ali maanisha nini wakati ule.
Kumbe alishawaonya enhee sawa ila sasa wamejua sura yake halisi
 
Mama kajitahidi kuficha kuwa yeye si nyoka bali ni binadamu, ila akasahau kuficha mkia ulionyesha uhalisia wake kuwa yeye ni nyoka(mkia umemuumbua).

Na mkia wenyewe ni unyanyasaji wa wapinzani.
Hapo umelenga 100 %. You can't get a better explanation.....!!
 
Mimi nikiona ile mishuka ya kijani hutumiwa vyumba vyo operation wakiondoa mishuka hii baada ya operation huwa imetapakaa midamu hatari sijawahi kuyaamini hatari sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…