Sijamuelewa Abdallah Tilata

Sijamuelewa Abdallah Tilata

BUSH BIN LADEN

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2019
Posts
9,165
Reaction score
20,898
Katika taarifa ya habari za michezo za kimataifa ametaja timu moja ya NFL aliyo itambulisha kama Seto Sewaki.

Wajuzi na wafuatiliaji wa huu mchezo naomba ufafanuzi kama mnaijua au mliwahi kuisikia timu hii.

Naomba kuwasilisha🙏
 
Kuna timu NFL inaitwa Seattle Sea hawk isije kuwa ndo anaitamka kama Seto sewaki😀😀
 
Nimejikuta nimekumbuka Mwandishi mmoja wa habari za michezo za star tv, badala ya kutaja Jina la team ya Seattle Seahawks yeye akataja radio Eti Seto Sewaki 😛 😛 😛 😛
 
Back
Top Bottom