Kwikwikwikwikwi...... Umbo kama la keny ya kupimia mafuta ya kwenye vibaba kuweka kwenye chupa ya soda
lazima basi uwe product ya morogoro..
we mchagaaa eeeh
Charmy... Mwanza hakuna apple !! kuna Mango...!
duh kibakuli
Meapa apple....
Mi tikiti maji
We utakuwa wa nyumbani Tukuyu au Kyela, si kwingine!