mdogo wangu ni miongo mwa wanafunzi waliochaguliwa kujiunga vyuo vya ufundi na biashara!
Kinachotatiza, dogo hakusoma commerce wala bookkeeping,alisoma masomo ya Sanaa but tunashangaa kachaguliwa kujiunga CBE masuala ya biashara!
Sasa sijui aende akakomae hivohivo au?au pengne wadau kuna utaratibu tunaweza kuufanya ili dogo abadilishiwe chuo na course?