MSATULAMBALI
Senior Member
- Apr 1, 2012
- 187
- 55
Moment of silence please! For a dead relationship!🙁🙁🙁🙁🙁🙁
Nimedumu na mpenzi wangu miaka mitatu jioni hii kani text hivi # maisha kwako bado sana na ww mwenyewe hujiongezi upo tu hapo. Ndio nakubali kuolewa na wewe lkn cjui maisha yngu yatakueje? Mbona men wengine wapo active, nashukur n ht cjazaaa maan cjui km tungekula.kaz unayowaz tukae tuongee kila siku tunaonge lkn hat kimoj yamebak maneno tu ndio maan nimepumzika maan naona tunazinguan tu.....Hata amu y harus sina maaaaa................🙂 nikiolewa ndio bas hvy
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mjibu hivi
'Naelewa your concern,na mimi pia sifurahishwi na hali hii
nataka nikuoe ili kwa pamoja tusaidiane kutatua hali hii
pale ntakaposhindwa kujiongeza wewe utanisaidia hata kwa ushauri
nitajitahidi uwe the happiest woman utakapokuwa mke wangu..
bado naona ukiwa na mimi utakuwa na furaha zaidi kuliko ukiwa na mwingine
ingawa kwa sasa hali haikufurahishi..

Mkuu ukiona manyoya ujue keshaliwa huyo. Dawa ni kuchapa mwendo ukizubaa na wewe utaliwa.Nimedumu na mpenzi wangu miaka mitatu jioni hii kani text hivi # maisha kwako bado sana na ww mwenyewe hujiongezi upo tu hapo. Ndio nakubali kuolewa na wewe lkn cjui maisha yngu yatakueje? Mbona men wengine wapo active, nashukur n ht cjazaaa maan cjui km tungekula.kaz unayowaz tukae tuongee kila siku tunaonge lkn hat kimoj yamebak maneno tu ndio maan nimepumzika maan naona tunazinguan tu.....Hata amu y harus sina maaaaa................🙂 nikiolewa ndio bas hvy Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Dah umeua babaake!!!Mjibu hivi
'Naelewa your concern,na mimi pia sifurahishwi na hali hii
nataka nikuoe ili kwa pamoja tusaidiane kutatua hali hii
pale ntakaposhindwa kujiongeza wewe utanisaidia hata kwa ushauri
nitajitahidi uwe the happiest woman utakapokuwa mke wangu..
bado naona ukiwa na mimi utakuwa na furaha zaidi kuliko ukiwa na mwingine
ingawa kwa sasa hali haikufurahishi..
Mjibu hivi
'Naelewa your concern,na mimi pia sifurahishwi na hali hii
nataka nikuoe ili kwa pamoja tusaidiane kutatua hali hii
pale ntakaposhindwa kujiongeza wewe utanisaidia hata kwa ushauri
nitajitahidi uwe the happiest woman utakapokuwa mke wangu..
bado naona ukiwa na mimi utakuwa na furaha zaidi kuliko ukiwa na mwingine
ingawa kwa sasa hali haikufurahishi..
a.k.a kapewa cha mbavu, na kashifa juu!Umeshamwagwa Baba!!!!!
Tatizo busara zikizidi sana kwa hawa viumbe ni kwamba unajitengenezea majanga ya kuendelea kupewa za usoMjibu hivi
'Naelewa your concern,na mimi pia sifurahishwi na hali hii
nataka nikuoe ili kwa pamoja tusaidiane kutatua hali hii
pale ntakaposhindwa kujiongeza wewe utanisaidia hata kwa ushauri
nitajitahidi uwe the happiest woman utakapokuwa mke wangu..
bado naona ukiwa na mimi utakuwa na furaha zaidi kuliko ukiwa na mwingine
ingawa kwa sasa hali haikufurahishi..
Mjibu hivi
'Naelewa your concern,na mimi pia sifurahishwi na hali hii
nataka nikuoe ili kwa pamoja tusaidiane kutatua hali hii
pale ntakaposhindwa kujiongeza wewe utanisaidia hata kwa ushauri
nitajitahidi uwe the happiest woman utakapokuwa mke wangu..
bado naona ukiwa na mimi utakuwa na furaha zaidi kuliko ukiwa na mwingine
ingawa kwa sasa hali haikufurahishi..
Nimedumu na mpenzi wangu miaka mitatu jioni hii kani text hivi # maisha kwako bado sana na ww mwenyewe hujiongezi upo tu hapo. Ndio nakubali kuolewa na wewe lkn cjui maisha yngu yatakueje? Mbona men wengine wapo active, nashukur n ht cjazaaa maan cjui km tungekula.kaz unayowaz tukae tuongee kila siku tunaonge lkn hat kimoj yamebak maneno tu ndio maan nimepumzika maan naona tunazinguan tu.....Hata amu y harus sina maaaaa................🙂 nikiolewa ndio bas hvy
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Keshachelewa huyo, kilichobaki hapo ni kuugulia maumivu tu; mara leo ya kichwa, kesho mafua ili mradi taabu kwa kwenda mbele! Kwa wataalamu wa haya mambo, unachofanya, unatafuta udhaifu wake kisha unaitumia huo udhaifu wake kumrudisha kundini. Akirudi tu, unamuelekeza kibra; kisha unamwaga jumla! maumivu unamwachia yeye, au mna-share fifty fifty! Kuachwa inauma, asikuambie mtu ingawaje kuna wengine kuachwa kwao ni kawaida kv hawajui kusoma alama za nyakati!Mmwage kabla hajakuwahi
Teh teh teh