Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,226
Uko sawa, Lisu ni mzurii, ila usimpe cheo cha mwisho kama Urais,,, mtalia,, bora hata mbowe,, lisu mpe uwaziri, hapo atakuchapia kazi kwerikweri,Lissu hayupo sawa kisaikolojia ukimuangalia uongeaji wake tu unaona hilo tatizo sema kinachomsaidia ni kwamba yupo upinzani tu.