Sijaelewa Tundu Lissu alipata wapi Ujasiri wa kumkosoa Magufuli hadharani akiwa hai. Sasa naona mbwa koko ndio Wanabweka

Wapo wengi waliomkosoa, ZZK alimkosoa sana, Membe alimkosoa sana, Hashim Rungwe spunda alimkosoa nk... TL hakuwa na point yeyote kwenye ukosoaji wake kumfananisha na ZZK ambaye alikuwa akichambua mambo mbalimbali kitaalam hasa uchumi, demokrasia nk.... TL mara nyingi alikuwa akifanya character assasination...
Acha uongo. Zitto hadi alienda kuungana na Magufuli Kgm jukwaa Moja. Zitto alikuwa ametegeshea Ubunge wa viti maalum vya teuzi.

Zitto ata ikosoa CCM pale tu maslahi yake aliyo target hayaja fanikiwa.
 
JPM alikuwa ni Rais bora ambaye kuna sehemu muhimu nchi ilimhitaji sana kuliko mapungufu yake ambayo yalisabishw na lack of controll maeneo fulani.

Binafsi nimefanya research juu ya mapenzi ya watu kwa huyu bwana, ukweli uliowazi JPM anaishi kwenye mioyo ya watu wengi saaana.

Ni leo tu usiku huu nimepita moja ya barabara maeneo fulani ambayo naamini ni feeder load, nikasema mbele za watu serikali inapaswa kujenga hii barabara, majibu ya raia ni "dah si kwa serikali hii angekuwepo jembe JPM angetia lami zote hizi"....hiyo ndio response ya raia

Hata serikali hii ikitaka iwe inaaminiwa basi iachane kabisa na kumsema sema yule jamaa aisee, upende na trust ya watu kwa JPM ilikuwa kubwa sana.


Kwani hiyo barabara haikuwepo alivyokuwepo jpm?

Yaani hiyo barabara imeibuka juzi tuu?
 
Back
Top Bottom