Sijaelewa, lengo ni nini hapa!

Lengo ni kupata hiyo platform ya kusimama kuifanya hiyo kazi... Wengine huwa wanatumia cherry picker
 
Nadhani kuna mizigo ambayo iko kwenye hilo lorry ambayo inatakiwa kuingizwa kwa hilo ghorofa..
 
Waliamka wakakuta lorry ghorofani...
Sasa hapo wanalishushs
 
Wapi hapo 😂😂😂 hahahaha VIP construction I think
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…