Hata mimi naona hivyo.Ameanza na geti la kutumiwa na watu, halafu geti la gari litajengwa pembeni upande wa kushoto wa hilo dogo la watu.Labda anaenda hatua kwa hatua,ameanza na geti
Ujenzi unaendelea ameanza na geti dogo la kuingilia watu alafu kushoto ataweka geti kubwa kwa mbali hapo mkono wa kushoto kuna kona moja ya geti kubwa imetokeza nadhani mafundi wamekwenda lunchHata mimi naona hivyo.Ameanza na geti la kutumiwa na watu, halafu geti la gari litajengwa pembeni upande wa kushoto wa hilo dogo la watu.
Exactly,the same observation I had!Ujenzi unaendelea ameanza na geti dogo la kuingilia watu alafu kushoto ataweka geti kubwa kwa mbali hapo mkono wa kushoto kuna kona moja ya geti kubwa imetokeza nadhani mafundi wamekwenda lunch
nimekumbuka huu mstari.....''Mlango sio mlango hadi ufungwe au uachwe wazi.''