Kabla hujampiga kibuti, mpe mkong'oto wa maana ili ajue hutakagi ujinga ndipo umwage. Zingatia usimtoe ngeo wala kidonda kikubwa.Pole mkuu walikuona mburula kumbe we kunguru.Yaani huyo binti ni wa kupiga kibuti tu
Kabla hujampiga kibuti, mpe mkong'oto wa maana ili ajue hutakagi ujinga ndipo umwage. Zingatia usimtoe ngeo wala kidonda kikubwa.Pole mkuu walikuona mburula kumbe we kunguru.Yaani huyo binti ni wa kupiga kibuti tu
Ujaribu na savanahsitumiagi natumia safari lager kirikuuu
Hahaaa atakuwa anaogopa wanawake huyu,Na ndo huyu alisema ameshitakiwa kwa kosa la kumshambulia mkewe kisa kadokoa na nyama
Nje kakutsfsiria sivyo utasemaje? Tafuta mwingine msukuma atafsiri. Angalau watatu tena wa mbali mbali.Habarini wana MMU,
Hiki kitu kimenishangaza sana, hivi kwanini wanawake mnaficha sana mambo mengine. Mpenzi wangu nilimrekodi kipindi yupo na wenzake kutoka nyumbani kwao usukumani.
Kilichofanya nirekodi ni swala la kuongea ki lugha mara zote huku na vicheko vya aibu na kunitazama kama wananihurumia, sasa baada ya kupata rekodi nne nilimtafuta mtu mmoja anitafsirie.
Aisehhhh! Nilitokwa jasho kama nataka kutoa roho, eti kipindi kile walikuwa wanatoroka kupitia dirishani wakati wazazi wamelala. Mara dume lililomtoa bikra anataka kumrudia atampa tena maana ana mapenzi matamu, nyingine nikishapata ndoa kwa huyu ndo atanijua nikoje, mara kipindi kile kidogo ningekamatwa na baba chumbani na doi...(niishie hapa)
Yaani hapa nilipo hata hamu imeniishia kumbe ndo mchezo wenu ulikuwa. Siamini tena mwanamke isipokuwa mama yangu NIMEKOMA ngoja niwafukuze hawa kabisa sitaki mashemeji hawa, kazi kukuwadiana hamna jingine.
Ohhh tunataka ndoa si mjioe wenyewe (nina hasira sana.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaa atakuwa anaogopa wanawake huyu,
Anaimagine stories za kutisha kuhusu wanawake,
Ukute ni katoto hata mwanamke hana, lol
Mkuu Gobe, usiogope bana wanawake hatung'ati [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4],
Usitulinganishe na mazimwi bana,impossible to live with, lol
Seriously, badilisha mtazamo kuhusu wanawake mkuu.
mm usifanye hivo mwambie ukweli tu saivhamna haja ya kushindana nasubiria siku anikosee tu na tena naomba anikosee tu ata azidishe chumvi kwenye mboga nafukuza kabisa nyau huyu