Sijaamini bado: Kumbe wanawake wana siri hivi...

Sijaamini bado: Kumbe wanawake wana siri hivi...

Watu wa mmu mnajuana wenyewe...

Kila siku watu humu wanakuja na stori za kutunga..

Leo mtu anasema mkewe ana tatizo so anaomba ushauri....baada ya siku 5 yule yule mtu na id ile ile anakuja na stori ooh "mchumba wangu ana hili...nishaurini"

Mara mtu aje na thread kama yeye ni demu...kesho anakuja na ingine hapo anakuwa mwanaume..lol

Mnaboa balaa!
 
ohhh tunataka ndoa si mjioe wenyewe ma mamalaya wakubwa( nina hasira san

o o o o....twende taratibu shemeji.......halafu nahisi wewe ni kaka yangu ulivyosema hutaki vyasaka.......
sasa kwa nini........?.......hebu tuchinje mbuzi ya kuzungumza hii maneno........
 
mmmnh wewe nawe kila siku wanawake this,wanawake that,

ulisema ooh mkeo sijui akiba ya nauli imefanyaje,

wakakushauri,uachane nae,

leo umekuja na mengine,

watakushauri uachane nae,

utakuja tena na stori ya huyo huyo mchumba wako,

mkuu acha drama basi,
Na ndo huyu alisema ameshitakiwa kwa kosa la kumshambulia mkewe kisa kadokoa na nyama
 
Habarini wana mmu

hiki kitu kimenishangaza sana. hivi kwa nini wanawake mnaficha sana mambo mengine. mpenzi wangu nilimrekodi kipindi yupo na wenzake kutoka nyumbani kwao usukumani. kilichofanya nirekodi ni swala la kuongea ki lugha mara zote huku na vicheko vya aibu na kunitazama kama wananihurumia. sasa baada ya kupata rekodi nne nilimtafuta msukuma mmoja anitafsirie.

aisehhhh nilitokwa jasho kama nataka kutoa roho. eti kipindi kile walikuwa wanatoroka kupitia dirishani wakati wazazi wamelala. mara dume lililomtoa bikra anataka rudi atampa tena maana ana mapenzi matamu, nyingine nikishapata ndoa kwa huyu ndo atanijua nikoje, mara kipindi kile kidogo ningekamatwa na baba chumbani na doi......(niishie hapa)

yaani hapa nilipo ata hamu imeniishia kumbe ndo mchezo wenu ulikuwa... siamini tena mwanamke isipokuwa mama yangu NIMEKOMA ngoja niwafukuze hawa vyasaka m+k+++u yao kabisa sitaki mashemeji hawa, kazi kukuwadiana hamna jingine

ohhh tunataka ndoa si mjioe wenyewe ma mamalaya wakubwa( nina hasira san
Sasa unashangaa nini na kumbe hata mwanaume aliemtoa bikra unamjua

SWALI KWENU WADADA; YULE ALIYEKUINGIZA......!!?

Au sio wewe mwenye hio thread hapo???[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Momrasaa, huyo aliyekutafsiria amekudanganya hakyanani!!!! Hebu leta hiyo audio huku wasukuma waseme neno, haiwezekani nisicheze kwaito mwaka huu sababu ya audio bhana....
Arifuu kama hujamkuta mwanamke akiwa bikra jua unakula muke ya mtu jombaa
 
Wewe unataka kuoa mwamke au unataka kuoa historia yake? Anzia hapohapo ulipo kwenda mbele. Pia uweke akilini kuwa hata usipomuoa huyo ukaoa mwingine kutoka huko kwenu mlimani huko mbeleni kuna kitu kinaitwa "kumegewa"
 
Habarini wana mmu

hiki kitu kimenishangaza sana. hivi kwa nini wanawake mnaficha sana mambo mengine. mpenzi wangu nilimrekodi kipindi yupo na wenzake kutoka nyumbani kwao usukumani. kilichofanya nirekodi ni swala la kuongea ki lugha mara zote huku na vicheko vya aibu na kunitazama kama wananihurumia. sasa baada ya kupata rekodi nne nilimtafuta msukuma mmoja anitafsirie.

aisehhhh nilitokwa jasho kama nataka kutoa roho. eti kipindi kile walikuwa wanatoroka kupitia dirishani wakati wazazi wamelala. mara dume lililomtoa bikra anataka rudi atampa tena maana ana mapenzi matamu, nyingine nikishapata ndoa kwa huyu ndo atanijua nikoje, mara kipindi kile kidogo ningekamatwa na baba chumbani na doi......(niishie hapa)

yaani hapa nilipo ata hamu imeniishia kumbe ndo mchezo wenu ulikuwa... siamini tena mwanamke isipokuwa mama yangu NIMEKOMA ngoja niwafukuze hawa vyasaka m+k+++u yao kabisa sitaki mashemeji hawa, kazi kukuwadiana hamna jingine

ohhh tunataka ndoa si mjioe wenyewe ma mamalaya wakubwa( nina hasira san
Unauhakika huyo mkalimani wako ametenda haki?,nakushauri tafuta wengine kama watatu wakutafsirie kabla hujafanya maamuzi.Mara nyingi japo si mara zote wachafu hukutana na wachafu wenzie.
 
o o o o....twende taratibu shemeji.......halafu nahisi wewe ni kaka yangu ulivyosema hutaki vyasaka.......
sasa kwa nini........?.......hebu tuchinje mbuzi ya kuzungumza hii maneno........

'kaka' mmhhh hapo pagumu, shemeji nawe hahaha. ntakuja arusha ngoja nimalizie sikukuu maana mbuzi zote zimeisha nitafute na ka ndama sijui katatosha na ka dumu ka mbege kalikobakia
 
Habarini wana MMU,

Hiki kitu kimenishangaza sana, hivi kwanini wanawake mnaficha sana mambo mengine. Mpenzi wangu nilimrekodi kipindi yupo na wenzake kutoka nyumbani kwao usukumani.

Kilichofanya nirekodi ni swala la kuongea ki lugha mara zote huku na vicheko vya aibu na kunitazama kama wananihurumia, sasa baada ya kupata rekodi nne nilimtafuta mtu mmoja anitafsirie.

Aisehhhh! Nilitokwa jasho kama nataka kutoa roho, eti kipindi kile walikuwa wanatoroka kupitia dirishani wakati wazazi wamelala. Mara dume lililomtoa bikra anataka kumrudia atampa tena maana ana mapenzi matamu, nyingine nikishapata ndoa kwa huyu ndo atanijua nikoje, mara kipindi kile kidogo ningekamatwa na baba chumbani na doi...(niishie hapa)

Yaani hapa nilipo hata hamu imeniishia kumbe ndo mchezo wenu ulikuwa. Siamini tena mwanamke isipokuwa mama yangu NIMEKOMA ngoja niwafukuze hawa kabisa sitaki mashemeji hawa, kazi kukuwadiana hamna jingine.

Ohhh tunataka ndoa si mjioe wenyewe (nina hasira sana.
Haahaahaaha Mkuu umetoa ya moyoni Malaya Always Ni Malaya tu Usimuwekee dhamana.
 
mmmnh wewe nawe kila siku wanawake this,wanawake that,

ulisema ooh mkeo sijui akiba ya nauli imefanyaje,

wakakushauri,uachane nae,

leo umekuja na mengine,

watakushauri uachane nae,

utakuja tena na stori ya huyo huyo mchumba wako,

mkuu acha drama basi,

Mkuu yananikuta sijui nimelogwagwa.

nikisema ni tulie na huyu yanaanza ma drama. ukifukuza ukipata huyu naye ana madrama yaani kama wameniona navyo ha ha.

kwa uzoefu wangu wanawake kuanzia tabia zao, mitazamo yao, maoni yao, maisha yao yanafanana sana hakuna aliye afadhali ila tunaishi nao tu sasa ufanyaje
 
Pole Sana.

Kuna kipindi nyuma nikiwa abroad UK kimasomo.....tulikua tukifanya vi house party mnoo na wabongo na some kenyans ...tunakunywa sana, eating na music kwa sanaa mpaka Chweee/Majogoo !!....sasa some totoz wakibongo walikua zimefyatuka kidogo unakuta tuko living room ila unakuta msela anapiga show dem toilet au bedroom huko wakitoka hawa after some tym wanaingia hawa or naingia mm na some other chick (mlango haufungwi) hzo kelele za madem sasa (wamelewa)....Dem unasikia anapigwa miti huko balaa obviously at mostly unakuta ni doggy style and that sound (Paa paa paa paaa) daaah acheni tu (Ni ujana na tulikua tumepinda haswa, TRUE STORY)

Few years after returning, some of those chicks were getting married wit very humble, cool and simple guys.....kwenye send offs hata sijui nilipatwa na nini nikajikuta nashikwa na hasira, mara natamani kulia at the same tym namuonea jamaa anayeoa huruma mnooo.

Aisee hawa wanawake some of them sio kabisa na si kwamba ni ugumu wa maisha na kwamba walikua wanauza NOOO !! Ni simply bata tu. [emoji23][emoji23] Marriage isn't a try and discard business....Tumuombe sana Mungu atuonyeshe wanaotufaa na ambao wako truly willing to leave their past behind. Enough of these broken homes man.
 
Na ucjarbu tena kujua,cr za hao viumbe
 
Mkuu kama ni mimi ningeanza kuwatafuna hao mashemeji,huenda ikakupunguzia hasira
 
Pole mkuu... MWANAMKE HUWA ACHUNGUZWI, yaani ukimchunguza lazima upate vistor flani vya ajabu na tabia za ajabu vya kutia aibu.....
 
Weka hizo audio ulizorekodi pengine jamaa kakudanganya tafsiri!

Mg'waghukuu ?
 
Wanaume mna kazi, unamchunguza mtu mpaka unamrekodi? Ulipata ulichokitaka
 
Back
Top Bottom