Sijaamini bado: Kumbe wanawake wana siri hivi...

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Sep 13, 2013
3,792
6,768
Habarini wana MMU,

Hiki kitu kimenishangaza sana, hivi kwanini wanawake mnaficha sana mambo mengine. Mpenzi wangu nilimrekodi kipindi yupo na wenzake kutoka nyumbani kwao usukumani.

Kilichofanya nirekodi ni swala la kuongea ki lugha mara zote huku na vicheko vya aibu na kunitazama kama wananihurumia, sasa baada ya kupata rekodi nne nilimtafuta mtu mmoja anitafsirie.

Aisehhhh! Nilitokwa jasho kama nataka kutoa roho, eti kipindi kile walikuwa wanatoroka kupitia dirishani wakati wazazi wamelala. Mara dume lililomtoa bikra anataka kumrudia atampa tena maana ana mapenzi matamu, nyingine nikishapata ndoa kwa huyu ndo atanijua nikoje, mara kipindi kile kidogo ningekamatwa na baba chumbani na doi...(niishie hapa)

Yaani hapa nilipo hata hamu imeniishia kumbe ndo mchezo wenu ulikuwa. Siamini tena mwanamke isipokuwa mama yangu NIMEKOMA ngoja niwafukuze hawa kabisa sitaki mashemeji hawa, kazi kukuwadiana hamna jingine.

Ohhh tunataka ndoa si mjioe wenyewe (nina hasira sana.
 
wavulana wa kawaida hukutana na wasichana mapepe mwisho hulaumu... wasichana wapole hukutana na wavulana viwembe mwisho hulaani... hivyo mlinganyo unaopatikana jinsia zote mbili huona kama wenzao wakosefu na kuanza kupitia njia zisizopendeza kwa kueneza visasi kwa wasio na hatia... ZINGATIA; wasichana wema wapo halikadhalika wavulana, tatizo ni suala la muda na uchaguzi muafaka, maana "hakuna aliezaliwa na ubaya"
 
Nashukuru ila nililolisikia akili imegoma kabisa labda mbeleni inaweza ikakubali
 
Pole mkuu walikuona mburula kumbe we kunguru.Yaani huyo binti ni wa kupiga kibuti tu
 
Mkuu pole kunywa maji, ukimfuatilia sana mwanamke kwa undani hautaoa kwa sababu hakuna aliye perfect. Mbaya zaidi hiki kizazi cha sasa ndio kabisa pasua kichwa
 
Nashukuru ila nililolisikia akili imegoma kabisa labda mbeleni inaweza ikakubali
hebu tiririka zaidi ya yale uliyosema tena kwa mpangili bila kujazibika, labda kuna kitu kimemisi kwenye maelezo yako.
 
Simple,we anza kugonga nje kwa juhudi zote bila kujali anajua ama la,
atajiseti mwenyewe ama ataambaa zake
 
hebu tiririka zaidi ya yale uliyosema tena kwa mpangili bila kujazibika, labda kuna kitu kimemisi kwenye maelezo yako.

Kingine ni unafiki, maana hao ndugu zake kuna siku walikuwa wakiniambia dada yao hajawahi kuwa na mwanaume kabisa tena alikuwa anawatukana kabisa. mimi niliamini kabisa nimepata bikra. baada ya miezi kumi ya kuwa kwenye mahusiano mimi nikalazimisha nipewe mzigo. duhhh kumbe walishapita siku nyingi... nilimchukia na ndugu zake nikawachukia walikuwa wamenidanganya. nina mengi sana ndugu ila hayo niliyoyasikia nimeanza kuunganisha dot na ya mwanzoni
 
Simple,we anza kugonga nje kwa juhudi zote bila kujali anajua ama la,
atajiseti mwenyewe ama ataambaa zake

hamna haja ya kushindana nasubiria siku anikosee tu na tena naomba anikosee tu ata azidishe chumvi kwenye mboga nafukuza kabisa nyau huyu
 
Kingine ni unafiki, maana hao ndugu zake kuna siku walikuwa wakiniambia dada yao hajawahi kuwa na mwanaume kabisa tena alikuwa anawatukana kabisa. mimi niliamini kabisa nimepata bikra. baada ya miezi kumi ya kuwa kwenye mahusiano mimi nikalazimisha nipewe mzigo. duhhh kumbe walishapita siku nyingi... nilimchukia na ndugu zake nikawachukia walikuwa wamenidanganya. nina mengi sana ndugu ila hayo niliyoyasikia nimeanza kuunganisha dot na ya mwanzoni
usiwe na papara ya kumuacha ila atajiachisha mwenyewe tu! kuna kauli nasemaga "Kiasili Wanaume Ni Polygamists... Kiasili Wanawake Ni Wasaliti/Wanafiki" (.. Sio Wote)
 
Alielala na bibi harusi siku moja kabla ya harusi na wala si bwana harusi bado mnanishauri harusi!!!!??? Et nizibe maskio wengine nifumbe macho nisione wakati naibiwa hamuezi kuwa hamjaelewa!!! mi nikiona mtu anaibiwa naona kama naibiwa mimi so miaka kadhaa ijayo ndo uniulize naoa lini!!!!
.
.
.
Endeleeni kunikatisheni tamaa tu.
 
mmmnh wewe nawe kila siku wanawake this,wanawake that,

ulisema ooh mkeo sijui akiba ya nauli imefanyaje,

wakakushauri,uachane nae,

leo umekuja na mengine,

watakushauri uachane nae,

utakuja tena na stori ya huyo huyo mchumba wako,

mkuu acha drama basi,
 
Habarini wana mmu

hiki kitu kimenishangaza sana. hivi kwa nini wanawake mnaficha sana mambo mengine. mpenzi wangu nilimrekodi kipindi yupo na wenzake kutoka nyumbani kwao usukumani. kilichofanya nirekodi ni swala la kuongea ki lugha mara zote huku na vicheko vya aibu na kunitazama kama wananihurumia. sasa baada ya kupata rekodi nne nilimtafuta msukuma mmoja anitafsirie.

aisehhhh nilitokwa jasho kama nataka kutoa roho. eti kipindi kile walikuwa wanatoroka kupitia dirishani wakati wazazi wamelala. mara dume lililomtoa bikra anataka rudi atampa tena maana ana mapenzi matamu, nyingine nikishapata ndoa kwa huyu ndo atanijua nikoje, mara kipindi kile kidogo ningekamatwa na baba chumbani na doi......(niishie hapa)

yaani hapa nilipo ata hamu imeniishia kumbe ndo mchezo wenu ulikuwa... siamini tena mwanamke isipokuwa mama yangu NIMEKOMA ngoja niwafukuze hawa vyasaka m+k+++u yao kabisa sitaki mashemeji hawa, kazi kukuwadiana hamna jingine

ohhh tunataka ndoa si mjioe wenyewe ma mamalaya wakubwa( nina hasira san
Tangazo, tukiwa ukwenu tunaomba muongee lugha ya taifa, wengine tuna cm za tochi hazirekod bint huyo hakuna kitu
 
Back
Top Bottom