hata baadhi ya wadada wanayo sana... na sipendi wanaovuta sigara kwenye public areas kama kwenye mikusanyiko ya watu wengi ama kwenye daladala ilhali kwa wengine ni keeeeeero!!
Nakujibu na ndugu zangu diar then swali linakuwa very simpleMbona mimi haniombi namtumia tu ninapojisikia, ila ikiisha na uliza aliongea nani.nukta
Haswaa kwa wanaume, ukimwambia niko kwa shoga yangu anakwambia nipe niongee nae, ukimwambia niko nyumbani peke yangu anakwambia washa tv, zima washa tena, weka tbc, haya hamishia clouds........ mambo gani haya
hata baadhi ya wadada wanayo sana... na sipendi wanaovuta sigara kwenye public areas kama kwenye mikusanyiko ya watu wengi ama kwenye daladala ilhali kwa wengine ni keeeeeero!!
Tabia ya mpenzi wako kukuomba pesa kwa ajili ya matumizi madogomadogo wakati hata yeye anapesa tena wakati mwingine nyingi kuzidi nilizonazo
Nakujibu na ndugu zangu diar then swali linakuwa very simple
Haswaa kwa wanaume, ukimwambia niko kwa shoga yangu anakwambia nipe niongee nae, ukimwambia niko nyumbani peke yangu anakwambia washa tv, zima washa tena, weka tbc, haya hamishia clouds........ mambo gani haya
Yap ! Tuongee ukweli utamu wa ile kitu baba angu inakufanya mwenyewe upereke hata kama ni mchaga.
Ukimwambia niko nadrive utasikia piga honi mara paki pembeni zima gari kisha washa tena!!!!!!!!!!!!!
I think all men should do the same; pay the bills, buy airtime, take her to salon ... otherwise utasaidiwa
Women hawapendi kutumia hela zao hata kama ni gari yake umemnunulia lazima aombe umuwekee mafuta. Thats how they are.