Siipendi hii tabia

Vipi ulimpa k??
 
Umesema vyema

Njaa mkuu ndio shida ya hawa mamanzi.

Hawa ndio wale ukimtoa outing atapiga picha msosi uliomlipia na kupost kwenye mitandao ya kijamii kuwatambia wenzake
Hawa wengii njaa.... Na alkuwa anapimwa tuu akili .....
Tujifunze kupelk familia zetu dinner watt wasije tia aibu.... Kwakwel sio poa mzee wangu
 
Zote izo ni mwembembe kinacho_mata ni kibunda mkuu
 
Pole sana kwa kukutana na jamaa mwenye ushamba, yaani kwanza ako na kipato alafu ni mubahili afu ni mshamba tu sasa kwa alilo lifanya kajiaibisha sana.
 
Hawa wengii njaa.... Na alkuwa anapimwa tuu akili .....
Tujifunze kupelk familia zetu dinner watt wasije tia aibu.... Kwakwel sio poa mzee wangu
Kabisa mkuu

Tuanze kuwazoeza mapema binti zetu waone ni vitu vya kawaida

Ili siku akiombwa date aelewe kusudi la date ni nini.

Misosi na vinywaji ni vitu vya ziada ila mazungumzo na kujuana ndilo kusudi kuu
 
Sa si ungezuia muamala😂😂
 
Ungemuonyesha jeuri kwa kuagiza chakula kingine, na ungeclear bills zote na ungetoa tip kwa mhudumu then ndo ungefuta namba yake na kumpotezea.
Ingemuuma hiyo mpk mwisho wa uhai wake.
Tatizo na wewe tegemezi 🤣🤣🤣
 
Kabisa mkuu

Tuanze kuwazoeza mapema binti zetu waone ni vitu vya kawaida

Ili siku akiombwa date aelewe kusudi la date ni nini.

Misosi na vinywaji ni vitu vya ziada ila mazungumzo na kujuana ndio kusudi kuu
Exactly..... Sasa yeye uko kaenda na njaa zake...... Mim hata washkj nawaambia kabisaa tutoke tuyajue maeneo expensive, standard na ya chinii.... Sio unalikwa ata kweny dinner unakuja na suti...
 
Bora ulivyofuta namba yake, huyo angekusumbua sana siku za usoni....

Hana haiba ya uanaume, hajiamini, hana aibu pia.
Tatizo sio kulipa bills, yaani yeye ni fala sana anamnunulia demu msosi afu yeye anakunywa maji huku akiwa na njaa, na ni kwa nini uombe outing huku ukiwa huna kitu au unacho ila ni bahili, mwisho wa siku ushamba ulivomzidi akafakamia msosi wote bila aibu.
 
Kwanini na nyie msionyeshe ya kuwa mnaweza kujitegemea, kama mnavyosemaga wanawake tunaweza,
 
Ungemuonyesha jeuri kwa kuagiza chakula kingine, na ungeclear bills zote na ungetoa tip kwa mhudumu then ndo ungefuta namba yake na kumpotezea.
Ingemuuma hiyo mpk mwisho wa uhai wake.
Tatizo na wewe tegemezi
Ajilipie ana jeurii.... Vocha tuu kaomba .... Apo hasira hasara
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…