Siipendi hii tabia

Basi humu kina dada watajimwambafy kumsema muhuni kumbe na wao wanadate na kina
Selemani msiwaache warekebisheni na muwafundishe kwamba tukienda huko mitoko inakua hivi nakumbuka enzi ubaro baro tulikua tunagoogle jinsi ya kuongea na mrembo n.k 😂😂, mtoa mada badala umchane mchizi ajue hupendi ujinga au mambo yavyopaswa kuwa kaja kushtaki Jamii Forum ! Rekebisha chuma hiyo huku imeyumba lakini kwingine itakua inafanya vizuri kwenye mambo mengine.

Mambo ya mahusiano kwa mtazamo wangu ni kufundishana na kuelekezana shida siku hizi tunapendeana matako na mwonekano !
Mambo ya kwenda date watu wengine hawaelewi hizo formula Simiyu hazipo ila baada ya muda mchizi angeelewa mazingira.
 

Unakua na mtazamo huo coz inaonekana ndo unakutana sana na wanawake wa design izo sana
Polee sana
kama huo mfano wako hapo ulioandika
 
Lini utaleta Uzi usisahu kunitag
 
Una akili sana
 

Same to us pia kumfanya mwanaume sanamu hakutatupeleka popote
Na sisi tumechoka kuwatukuza
 
It’s not what you think
Uyu alikua ananitaka tuingie kwenye relationship ila Bado nilikua sijamkubalia
Sasa ndo akaona Sijui akisema choose any place Sijui nini ndo mm ntalainika kumbe kaharibu mwanaume yule asiejiamini
Ohhh..

But next time ikikutokea kama hivyo, agiza chakula kingine, yaan wakat jamaa anafakamia pale unaagiza plate nyingine alafu kaa zako kimya.
 
Wenye mbwembwe kama zako huwa hsmna lolote.

Mwanaume hupaswi kuwa na mambo mengi hivi.

Na wanawake wenye akili hukupima kwa idadi ya maneno yako.

Wewe unaliwa kichwa saa 2.
Wadanganye akina Mwajuma wa Tandale pekee
 
Dadeki yaani nikwambie uchague sehemu yoyote!!
Kwa hali hii ya sasa, ukiona nimekupeleka sehemu basi jua bei za hapo nazijua vizuri hata uagize nini vinalipika.

Na napenda wale wa kuvunga vunga ooh we niagizie tuu.

Bora ww unachagua mwenyewe na bei ya iyo sehemu unazijua
Uyu kajitutumua ni choose mwenyewe any place
What a shamee
 
Huyo alikosea sana, ilitakiwa baada ya kushiba Saa ya kulipa alipie maji amwambie mhudumu kila mtu analipa bili yake nipo na super woman na asibadili msimamo.
 
Akikutoa Tena Dinner Niite Mbwa.. Mwanaume anakupima Ww ni mtu wa Namna Gani siku ya Kwanza Tu ... Hapo keshaona Huyu hanifai kwenye Shuda na Raha.. Maana Siku akikosa Utaleta Uzi tena humu

Na Mimi nakuona kamq Mjinga Na Mwanamke wa Hovyo kwa Kuleta humu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…