Siipendi hii tabia

Man kuna wanawake niwachoyo sasa imagine unaenda kuishi nae,ataweza ishi na ndugu zako,watoto kama hali ya uchoyo ipo hivi...
Kwa kweli Mkuu, Mwanamke wa hivyo hafai maana Watanzania tunajijua kwa ukarimu wa kupokea Wageni.

Kuna Msichana niliwahi kuvunja mahusiano nae kwa ishu kama hii, yaani mtu mmekutana Ukubwani aanze kukupangia Idadi ya ndugu kuja kukutembelea utasema hamna chakula ndani wakati Chakula kipo hadi kuna wakati mnakimwaga kwa kushindwa kumaliza
 
Ttzo lenu na nyie mnachagua sehemu msizoendana nazo ww hadhi yako nusu nyota ila kwakua umewa nafas ya kuchagua unachangu nyota 4
Jiangalie kwanza hadhi yako unapaswa kua apo yawezekana icho ndo kimesababisha jamaa kaona hawezi ingia hasara mara 2
 
Ni kama unasaidia tu kutatua shida yake...then unaendelea na biashara nyingine ni jambo zuri maokoto yapo tu kila siku utapata tu nyingi mzee,in the end unakua umeshamsoma tabia yake
Daah kumbe tunafanana kidogo, mimi binafsi ninapomtoa binti out huwa sina mategemeo makubwa hakuna kabisa, napenda kitu kizaliwe automatic, sipendi kutumia nguvu ya pesa au out kama kigezo cha kumpata.

Tunaweza kutoka hata mara 2 na nisimwambie chochote zaidi ya stori.

Ikiwa amegusa moyo sana kinachofuata namsoma yeye naye kama kuna kitu kimeumbika juu yangu...hapo....
 

Yeah inakua hujamnunua bali umefanya kwa mapenzi yako binafsi, na akupe mwili wake sio kwasababu ya transaction bali liwe swala la hisia....
 
Hivi huyu ndo yuleyule uliekawahi kusema kwamba unahitaji ushauri wa jinsi ya kumwambia haumtaki ??

Na kama ni mwingine, je Yule ulishaachana nae na ilikuwaje ??

Mimi sikujui kama ambavyo wew haunijui, ila nilichogundua kwako ni Kwamba "Unapenda kuyaendesha mahusiano yako kwa hisia.

Jikite sana kwenye kutafuta Maisha yako, muda wa kuishi kwa kuwategmea WANAUME ushapitwa na wakati na ukiendelea kuishi hivyo utaishia kila siku KULETA NYUZI ILI KUJILIWAZA JUU ya udogo wa akili zako.
 
Madem wengine km zombii.... Mim nlkuwa sna gari naish kwa kurekwesti bolt.... Niliwaambia skup Zaid ya 30k..... Huez sepaa ela yangu Bora ninywee Pombee iishee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…