Siipendi hii tabia

vijana tuna mambo mengi ya ajabu
 
Hivi yule dr. wa Tabora vipi mkuu.

Ukweli ni kwamba mabinto wanataka wazee, wewe watumikie tu mkuu.

Tugawane majukumu...wewe watumikie....wengine tumtumikie Kristo😂😂😂
Hahahaha............umenikumbusha mbali Mkuu na hiyo stori, maana ni tukio la mwaka 47 iliyopita. Sasa tumezeeka 🤗
 
Hii sasa ndiyo hoja ya msingi
 
Mwanaume unamfunda nini zaidi ya kuwa na pesa tu?
 
Hahahaha............umenikumbusha mbali Mkuu na hiyo stori, maana ni tukio la mwaka 47 iliyopita. Sasa tumezeeka 🤗
Grahams unajua ni jina la mtumishi mkubwa Us.
Nawe watumikie warembo wetu mkuu tena kwa mahaba mazito.

Soma tena post uliyo ni quote kuna kipengele niliongezea
 
Ipi
 
Ningekuona wa maana kama bill ilivyoletwa ungetowa pochi na kulipa wewe.

Kuna wanaume maboya sana, yani mnaacha kwenda kula mdudu kilo mbili ndizi 6 sita, moja rost moja kachumbari, mwanamke anashushia dompo mubaba unashushi KVeve na Serengeti tano mkitoka hapo mnaingia lodge ya sh 40,000/= yani hiyo shangwe yake utasema Yesu anaingia Yerusalemu Osana Osana.

Huwa mnawazuzuwa na nini hasa? Makeup au tako?
 
Umefita namba ya mtu wakati chakula chake ulikula
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…