Unajua lakini kama Dr Slaa kaitelekeza familia yake na kesi ipo mahakamani?
Ametoka kwao ameaga.Itakuwa ngumu kwa Zitto..hakuna hata panya atakayesalia akiguswa...
Mkuu Mingoi, unafiki wangu unatoka wapi tena wakati nmeweka wazi kwamba siipendi chadema na sababu nimezitoa?
Hujui waliompigia kura mnyika ni wachaga wa kimara tu na zingine aliiba tu.
Unajua lakini kama Dr Slaa kaitelekeza familia yake na kesi ipo mahakamani?
Mabomu ya kukuzuia kufika kwa Dr.kwa sababu Jose na Kamili..oni wamejifunga nayo kila kona acha kabisa usiwasogelee mdogo wangu watakufutilia mbali wakali hao kwa sasa?! watafute wengine kama wakina Baba V.
Mkuu wa kaya yupi make wewe si unawazazi waili unamaanisha yupi.Namchukia Lisu maana kichaa chake sio kama cha wengine....Cha kwake kinawapeleka puta watu wengi, akipewa mic hata mwenye kigoda anapata hofu....Kichaa chake kilimtia hofu mkuu wa kaya na kusema ni bora Slaa mara..... kuliko Lisu kutinga bungeni.........
Mwenye akili ni Prof Sugu wa kushika m.i.c.Nanini kakwambia akili ni madarasa mengi...? hiv Prof Maghembe na elimu yake yote ile unadhani ana akili?
Hivi Profesa aliwaongezea kura ngapi tena? Nakumbuka alikiri Msikitini kuwajazia kura maana zenu hazikutosha...........Mbona sasa mmeanza kumgeuka?
Mtapigwa tu na mimi nasema wapigeni tu.1.Chadema Chadema people's power
2.Wakituchakachua ehee watakiona cha moto kilichomtoa kanga manyoyaa
Kaitelekezea msitu wa pande ule ambao dkt ulimboka alishughulikiwa?
Si wanajifanya wanajua kuchochea acha waipate.Wamemkamata kiongozi wake kule Mtwara naskia kuna hatihati kama meno,kucha na macho vipo kwa idadi kamili..
Mabomu ya kukuzuia kufika kwa Dr.kwa sababu Jose na Kamili..oni wamejifunga nayo kila kona acha kabisa usiwasogelee mdogo wangu watakufutilia mbali wakali hao kwa sasa?! watafute wengine kama wakina Baba V.
Mwenye akili ni Prof Sugu wa kushika m.i.c.
Narudia tena SIIPENDI CHADEMA na sitakuja kuipenda chadema kama haitajirekebisha.
Nasema hivyo kutokana na sababu zifuatazo.
1. Chadema imekua inaongoza nchi kinyume na taratibu. Tunajua kwamba kwenye uchaguzi mkuu uliopita CCM "ilishinda" uchaguzi huo na kua na "haki" ya kuongoza serikali na vyombo vyote vya usalama.
Lakini kwa masikitiko makubwa CHADEMA wamejitwalia jukumu hilo bila kufuata sheria na taratibu za nchi hii.
Mfano ni pale chadema inapotumia polisi kuwadhuru wananchi na kuwapiga mabomu wananchi kwa kutumia polisi.
2. Chadema kutumia mabavu kuliongoza BUNGE ambapo kisheria ilibidi bunge liongozwe na CCM yenye wabunge wengi, speaker,naibu speaker na wenyeviti wa bunge kutoka CCM.
Hii inajidhihirisha pale ambapo CHADEMA wamekua kimbelembele kutetea maslahi ya wananchi wakati hii kazi ilibidi ifanywe na CCM yenye wabunge wengi+serikali. Huu ni uporaji wa haki ya msingi unaofanywa na chadema kwa wabunge wa ccm.
3. Chadema kwa makusudi kabisa imekua ikiwachonganisha wananchi na serikali yao tukufu ya CCM.
Kitendo cha chadema kufichua maovu ya CCM na kuyaweka wazi kwa wananchi ni uchonganishi mkubwa na unawafanya wananchi kutoipenda serikali yao "halali" iliyopo madarakani.
Mfano mzuri ni list of shame, KAGODA, MEREMETA, DEEP GREEN e.t.c
4. Kitendo kiovu kinachofanywa na chadema kuilazimisha CCM kuacha sera zake na kutekeleza sera mbaya za chadema ni kitendo ambacho hakivumiliki na kinafaa kupingwa na wananchi wote. Wanancchi tumekiamini chama chetu tukufu ccm na tukakipa "kula" za kutosha ili kiingie madarakani na kutekeleza sera zake ilizokua inazinadi majukwaani. Matokeo yake chadema imefanya hila na michezo michafu ya kisiasa na kuilazimisha ccm kutekeleza sera za chadema.
5. Chadema imeiweka nchi rehani kwa kulazimisha USALAMA WA TAIFA kuripoti kwake badala ya kuripoti kwa serikali tukufu ya CCM.
Huu ni uhaini na wapenda haki wote inabidi tupaze sauti kukemea hili suala.
Haiwezekani wanausalama watiifu wafanye mauaji yanayofuata sheria halafu wale wanausalama wasiofuata maadili wakapeleka taarifa chadema. Hii sio sawa kabisa, kunaiweka nchi yetu kwenye hatari kubwa sana.
Naomba niishie hapa ila natoa rai kwa watu wote wenye uzalendo na nchi hii kuipiga vita CHADEMA kwa nguvu zote.
Unajua lakini kama Dr Slaa kaitelekeza familia yake na kesi ipo mahakamani?
Mkuu Ritz,kwani si nasikia anaumwa,anaruhusiwa kukutana na watu?Unaitajika leo mtaa ufipa kuonana na dr wa ukweli.
Kumgeuka manaake nini wewe umelelewa na nani mbona unatukana hovyo hilo ndilo tatizo la bavicha kutukana.Hivi Profesa aliwaongezea kura ngapi tena? Nakumbuka alikiri Msikitini kuwajazia kura maana zenu hazikutosha...........Mbona sasa mmeanza kumgeuka?