Yaani wewe ni mmoja kati ya mamillion ya wapenda mageuzi hapa Tanzania wanayoipenda sana CDM,CDM Inaonekana kuongoza nchi toka bungeni, CCM wako wengi lakini wanaburuzwa na CDM kama ulivyoainisha mwenyewe hii ndiyo laana ya kujitwalia madaraka kwa uraghai,mbinu chafu na rushwa sasa wanonekana hawapo,wamekufa kifikra japo wanatembea wamejifunga kwa kamba zao wenyewe nani awafungue????