Siibiwi kweli?

Aiseee miaka saba ! Unaibiwa kabisa! Mahusiano yenu yalianza mkiwa shuleni au mmekutana ukubwani?

Samahani natafuta tafsiri ya miaka saba!
 
Miaka 7 uchumba ni janga kubwa sana.
Acha tu wanaume wale mzigo maana wewe umekuwa mzigo usiobebeka na ukiendelea kuzubaa mimba wamjaza halaf utaambiwa ni yako. Amka mkuu kumekucha
 
Miaka 7 unat.o.m.b.a bure halaf unalalamika...umerogwa?
 
MMU Bwana sometimes mna niangusha,yani kuna baadhi ya watu ambao ni maarafu humu waki comment kwenye thread basi wote mna support Hata kama alicho comment hakina support ya evidence

Mme mnanga mleta uzii Kuhusu swala la miaka 7 bila hata kuuliza ili mjue hiyo miaka 7 imekuaje.Matokea yake mmekuwa kama kichekesho sasa baada ya yeye kuwaambia hiyo miaka 7 imefikaje,na ndoa kumbe alisha tangaza.Msi comment kichwakichwa jamani

Back to the topic,mkuu huyo binti piga chini Wala usijipe presha.Utapata tu ambaye atakuthamini.
 
Ndio shida ya mapenzi ya tangu utotoni...
Huyo si wako...
Alipokukubali hakuwa mature enough...
sasa hivi unaweza usiwe kwenye list ya preference zake...
Songa mbele...
 
Naomba mwaliko kwenye jubilee ya uchumba wenu asee!

Mkifikisha miaka 10 ya uchumba si haba! Mwaweza fanya sherehe.

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
Aiseee miaka saba ! Unaibiwa kabisa! Mahusiano yenu yalianza mkiwa shuleni au mmekutana ukubwani?

Samahani natafuta tafsiri ya miaka saba!
Mnajua hiyo miaka saba imefikaje?

Nilianza nae akiwa kidato cha pili, akamaliza kidato cha nne hakufaulu, nikamshauri arudie, akarudia mtihani lakini pia hakupata credit, nikamshauri akasomee clearing and forwarding miaka miwili, jumla mingapi hapo? 6.(Sita)

Mwaka uliopita amepata kazi, nikamwambia anipeleke kwao nikajitambulishe, nimepigwa chenga, mwaka huu mara ya mwisho kuonana nikamueleza nia yangu kwamba mwakani Mungu akipenda tungefunga ndoa, yaani utafikiri ndio nilimuambia kwaheri.

Hiyo ndio miaka Saba sasa. Kuna lingine?
 
uhuaiano miaka????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
We jamaa huna huruma na kabinti ka watu.. Seven solid years, and you still want to bench her for more years..!
Aiseee people can be merciless
 
Kwa vyovyote vile, anakuzunguka. Anajua huna ubavu wa kumuacha maana unampenda kupita kiasi. Jitahidi kumsahau, na uachane naye. Atakuendesha sana.
 
Ukiona mwanamke anapiga chenga kuolewa na weww ujue

1. Unaibiwa
2. Sio chaguo lake
3. Kakufanya wa kuzUgia zUgia mjini hapa




 
aise
yani mtoto kaanza darasa la kwanza hadi kamaliza la saba nyie bado mko mnachombezana tu?
 
huyo ana mtu mwingne tayar! Sasa mkuu miaka saba yote hyo siku ukionana nae piga mimba walaah nakuambia atatulia huyo.! Usiwe legevu kaza kwel kwel mpe mimba kama bado unampenda.ukizembea anakuacha
 

Ninyi ndo mnatuharibia watoto....unaanzaje kuhusiana na mtoto wa form two???kubaf
 

Miaka saba hujamuoa na unaona kawaida mtu mpenzi kwa miaka saba, uhusiano haupigi hatua yoyote atakuwa hakuelewi una mpango gani. Ninayo furaha kukujulisha una uwezekano wa kuibiwa kwa asilimia 99.9 maana hujafunga nae ndoa mda wote huo na hushituki wakati huna haki zozote kimsingi kummiliki huyo mwanamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…