Sihitaji Simu ya Android Nahitaji Teknolojia ya kutengeneza Simu ya Android

Najua mnamuonea wivu profesa anavyopendwa na mataifa ya nje. Mbona safar zake hazijaisha bado, mnalalamika umeme wa kuchajia hakuna kwani ameshamaliza ziara zake? Je ikitokea akapata msaada mwingine wakuletewa power bank zinazokaa miezi miwili na charge? Ama kwahakika hรขta wa kijijini anaweza kutuma ka'power bank kake mjini kwenye umeme kakachajiwe . sioni kosa la profesa acheni wivu wa kike, ccm inatufanyia makubwa tuwe na shukrani.
 
Niliposikia hii habari nilijiuliza maswali mengi, au tunaweza kupata mfano wa nchi gani duniani walipata ''msaada'' kama huu kabla yetu??

vitu vyote vya kipumbavu vinaanzia Tanzania, ulishawahi kusikia nchi gani Rais ameamuru wezi na mafisadi warudishe hela wasamehewe? wapi wauza madawa ya kulevya rais anajisifu hadharani kuwa anawajua na list anayo anawaomba chonde chonde acheni hiyo biashara? TZ ni nchi ya miujiza na maajabu, nadhani Ikulu ya tanzania ilikuwa ajabu la kwanza la dunia, serengeti na ngorongoro zingefuatia
 
Kha, unacheza na Profesa, hahaahaaaa naskia eti kapitia London kuchukua Maiti ya Sata? MANI una taarifa hizi? Please confirm, Sumu na thatha watakuepo pia
 
Last edited by a moderator:
Hapana Mpwa hatuhitaji kufika huko. Sometimes Waandishi wetu wanaweka chumvi kwenye habari hadi wanaharibu. Usikute Profesa wala hajaahidiwa kitu. Tutumie tu lugha ya busara kuwarekebisha. Thanks.

Mpwa kwa akili za huyu jamaa nna uhakika kaomba simu aisee
Yaaan anaudhi utadhani ana boga kichwani aaah
 
Jamaa linaomba-omba tu hadi limejikuta linaomba kudumaza akili watanzania,
Hivi ule mpira wa umeme jk aliokua akiucheza na oboma wakiwa wamevaa mokasini na suti nani mwingine amewahi kuuona phisically?
 
Reactions: BAK
Inwwezekana aliomba kufundishwa kuvua samaki wakamnyima.

Si unajua wenzetu wanapenda kuabudiwa milele,nasi tunawasujudia.
 
Mkuu Elli halafu kuna Kada mmoja wa chama cha wahuni akaandika hapa eti, "Neema hiyo inakuja" nikabaki kustaajabu tu. Hawa wa chama cha wahuni hawajui hata vipaumbele vya Watanzania ni vipi!!! Pamoja na kuwepo madarakani kwa miaka chungu nzima sasa.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Elli halafu kuna Kada mmoja wa chama cha wahuni akaandika hapa eti, "Neema hiyo inakuja" nikabaki kustaajabu tu. Hawa wa chama cha wahuni hawajui hata vipaumbele vya Watanzania ni vipi!!! Pamoja na kuwepo madarakani kwa miaka chungu nzima sasa.

Kaaaaazi kweli kweli
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ