christnetwork
Member
- Sep 1, 2015
- 39
- 66
tafuta Pesa Baba mwisho wa siku rithisha kitu cha watoto yatima kama utaki kuwa na familia yako.
SanteHongera
sawa, ukute una 22 au chini ya hapo.Kiukweli cjawahi fikria kuwa na mpenzi au mchumba maana sijawahi upatia nafasi ubongo wangu kuwa kuna kuoa au kuzaa watoto ila mara nyingi nafikria kutafuta pesa tu si vingine