Signal za STAR TV..

Signal za STAR TV..

Glisten

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
301
Reaction score
22
Jaman wataalamu watusaidie hapa Star tv kupitia frequency zake za 3884 na Symbol rate 4900 huku MOSHI..SIGNAL IS WEAK...Hatuipati kabisa ni Mwez na zaid sasa...JAMAN TUNAOMBA MSAADA WENU...TUNAKOSA VIPINDI BOMBA..
 
cheki hapa www.flysat.com
 
Jaman wataalamu watusaidie hapa Star tv kupitia frequency zake za 3884 na Symbol rate 4900 huku MOSHI..SIGNAL IS WEAK...Hatuipati kabisa ni Mwez na zaid sasa...JAMAN TUNAOMBA MSAADA WENU...TUNAKOSA VIPINDI BOMBA..

Ni kweli Star Tv walipotea kwa muda mrefu, lakini kuanzia wiki jana wamerudi kwa huku Dar, jaribu kuchekecha dish lako au kwa msaada wa fundi utawapata.
 
Leo naona startv wako vizuri ila mimi nimeweka fr 3885 badala ya 3884,shughuli ipo TBC utazani ni cd iliyochunika inakera.
 
Ukiwa na risiva nzuri angalau gulf star tbc,startv nk hazisumbui kabisaaa kama unanawa vile
 
Nilikuwa na miezi zaidi ya mitatu sipati Star Tv kwente Dish langu. Jumapili ya tarehe 25/08/2013 hata ITV , EATV, Capital na Channel 10 nazo zilapotea kabisa. Ajabu jana bila hata kutafuta fundi zikarudi zote hata Star TV ambayo ilishapotea siku nyingi.
 
Star tv wamerudi leo signal zipo juu but TBC hamna kitu kabissssssaaaaa!
 
tbc inapatikana vizuri tu embu jaribuni kuzungusha lnb zenu kwa mfano kama unatumia receiver ya media com hakikisha signal ya startv inasoma 46% then tupia fr 3893v3072 hapo tbc lazima idumbukie
 
jaman huju singida kiomboi ruruma star tv ni poor signal vp nifanyaje
 
Cha muhimu nunueni madish ya ft 8. Mimi sijawahi kupoteza chanel yoyote napeta na mdish wangu wa ft 8
 
Back
Top Bottom