MALISA92 Senior Member Joined Aug 29, 2013 Posts 148 Reaction score 57 Mar 28, 2015 #1 Wakuu nilikuwa nahitaji hiyo tool kwaajili ya kazi mbali mbali za ku unlock phones sasa kwa hapa Tanzania naweza ipataje hii Box? Noamba kujulishwa bei yake (Tz sh) pia na mahali naweza kuinunua. Asanten sana!
Wakuu nilikuwa nahitaji hiyo tool kwaajili ya kazi mbali mbali za ku unlock phones sasa kwa hapa Tanzania naweza ipataje hii Box? Noamba kujulishwa bei yake (Tz sh) pia na mahali naweza kuinunua. Asanten sana!