Sigara hii naitafuta kwa hapa dar

Sigara hii naitafuta kwa hapa dar

Gluk

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
1,859
Reaction score
3,025
Ni sigara nzuri sana kwa wale wanaopenda siku zijazo kutembelea ile hospitali iliyo pembezoni mwa bahari ya hindi.

SHIKAMONI WAVUTA SIGARA WOTE
IMG_20190701_154925.jpeg
IMG_20190701_154957.jpeg
IMG_20190701_155005.jpeg
IMG_20190701_154935.jpeg
 
Asante sana kwa ushauri wako mkuu barikiwa sana nahisi na wanachama wenzangu wamekusikia
Nimesema hivo kwasababu nakumbuka kaka yangu kateseka sana na huo ugonjwa wa cancer hata sasa bado hajapona na anaichukia tumbaku kupita maelezo
 
Nimesema hivo kwasababu nakumbuka kaka yangu kateseka sana na huo ugonjwa wa cancer hata sasa bado hajapona na anaichukia tumbaku kupita maelezo
Kwahyo ushauri wako ni kwamba kwa sisi ambao hatujapata madhara ya tumbaku ni vema tukaacha au tuendelee mpaka madhara yatakapojitokeza.
 
Kwahyo ushauri wako ni kwamba kwa sisi ambao hatujapata madhara ya tumbaku ni vema tukaacha au tuendelee mpaka madhara yatakapojitokeza.
Ukiweza acha kabla madhara hayajakukumba ndugu.

Kwa mwezi unaspend kiasi fulani cha pesa kwaajili ya sigara.

Unapofika wakati wa kula chakula na mfukoni huna sigara naamini huli kwa raha.

Kutema mate mara kwa mara

Kinywa chako kuwa na harufu ya tumbaku na mengine mengi ila hilo la cancer ni hatari sana ikiwa itakupata inasumbua mno kuitibu na ukifikiria chanzo chake ni cigarette tu ambayo sio chakula kwamba usipovuta utakufa.

Maneno yangu sio sheria
 
Back
Top Bottom