imebidi tu nicheke. Nungu nungu ukimgusa tu anakufyatulia miba ili usimzoee zoee. Na huyu kafyatuliwa mishale hadi macho yametoboka haoni. Mwanaume gani hapa bongo wa miaka 34 ambaye yuko rijali na hana stress na ana mwanamke hataki kuoa eti familia inamtegemea? Hata kama familia inamtegemea vipi haiwezi kumnyamazia kwenye swala la kuoa. Ni nungunungu tu huyo!unajua najaribu kumuangalia nungunungu huku najifananisha nae nakosa jibu!! haya dada
Wenzio wa umri huo sasa hivi wanalea vijukuu,wewe ndo kwanza bado unakuja kusumbua watu huku eti unataka mchumba!!nani anataka makombo sasa?
Hakuna limit ya kujipa muda off mahusiano ili kujipanga upya, kwa sababu tunatofautiana jinsi ya kukabili hisia na maumivu yetu na inategemea pia una uhitaji kiasi gani na hayo mahusiano mapya. Kama anaweza kumove on ndani ya siku ni fresh, ila tu pressure ya kuolewa isimfanye akakurupukia mahusiano mapya.
She is 30 and Naelewa pressure aliyonayo, but akiact desperate anaweza akaishia kuwa hata na miaka 35 afu still single. Coz from maelezo yake na hatua aliyofikia, leo leo akitokea mtu akataja " Ndoa" huyu anaingia king. Hajaibua libazazi kweli, na utashangaa hata lisimuoe kabisa likasafisha tu rungu. Huyu hatajipa hata muda wa kutosha wa kumchunguza huyo mtu.
Sometimes ni bora uchelewe ila ufike salama, kuliko uharakishe afu ukaangukia pua. Inabidi atulize kichwa kwanza, kwa sababu pia hakuna guarantee kwamba ndani ya muda huu mchache atapata mchumba ambaye yupo tayari kumuoa sasa hivi.
Hahaah usijali sis, barikiwa sanaAMEN dada.
Mnisamhehe kukotikoti. Kidude cha laik kilipotelea kwenye uchaguzi.
If you're not a couple, you can't adopt officially.
Kama pia hujawai kutoa mimba naomba uni pm tuweze kufahamiana. Asante.
Mleta uzi...furaha yako ipo mikononi mwako. Fanya tathmini ukiona inafaa tafuta ustaarabu mwingine (tathmini ya kina ni muhimu usije jikuta umeacha mbachao kwa msala upitao) maana unaweza jifunga kwa ntu asiyena mpango na wewe
Hakafu 30 mbona bado?
una degree2, watoto wa2, kwa waume wa2.
iyo nimekupa kama angalizo kuwa makini icje ikatokea kwako. uckubali kuzaa tu bila ndoa, jikabidhi kwa Mungu, Na Unaweza Kwenda Kwa Mch.Wako Ukamweleza Nae Atakusaidia. Uctafuta Mume Kwa Kuangalia Vigezo Vya Elimu Ya Kawaida, Bali Mwenye Hofu Ya Mungu.
Kwa Ushauri Zaidi Nipm Au Piga Cm 0786100772, 0757856336
Kama kawaida wazee wa fursa hawachelewi...na huko pm matapeli watakuwa wamemiminikaje? Ushauri wangu hawa wa humu wapotezee kama mchumba tafuta huko mtaani kwenu
Hahaa hum kuna wazee wa fursa we acha tu
unajua najaribu kumuangalia nungunungu huku najifananisha nae nakosa jibu!! haya dada