Usiwaharibie bwana fursa zipo popote hata humu
hutendi haki dada, wengine hatujawahi kwenda huko pm
Wanawake mkishapiga kitabu kidogo, kazi nzuri, kiusafiri na kigeto huwa hamuoni wanaume level zenu, mnajisikia kupita shetani, Mungu nae sio mjinga akupe vyote wengine watapata nini?
kama unaona ulienae anachelewesha si ukubali proposal za wengine... I'm sure sio yeye pekeake aliewai kukutokea na kama wote wanaexcuse basi zidisha maombi na tafuta hata mtoto wa adoption for the mean while akupe kampan
una degree2, watoto wa2, kwa waume wa2.
iyo nimekupa kama angalizo kuwa makini icje ikatokea kwako. uckubali kuzaa tu bila ndoa, jikabidhi kwa Mungu, Na Unaweza Kwenda Kwa Mch.Wako Ukamweleza Nae Atakusaidia. Uctafuta Mume Kwa Kuangalia Vigezo Vya Elimu Ya Kawaida, Bali Mwenye Hofu Ya Mungu.
Kwa Ushauri Zaidi Nipm Au Piga Cm 0786100772, 0757856336
huu ushauri ni kwa wadada tu au na mi naweza kukutafuta
una degree2, watoto wa2, kwa waume wa2.
iyo nimekupa kama angalizo kuwa makini icje ikatokea kwako. uckubali kuzaa tu bila ndoa, jikabidhi kwa Mungu, Na Unaweza Kwenda Kwa Mch.Wako Ukamweleza Nae Atakusaidia. Uctafuta Mume Kwa Kuangalia Vigezo Vya Elimu Ya Kawaida, Bali Mwenye Hofu Ya Mungu.
Kwa Ushauri Zaidi Nipm Au Piga Cm 0786100772, 0757856336
Hivi probability ya 'MENOPOZI' inaanzia miaka mingapi..??Mleta uzi...furaha yako ipo mikononi mwako. Fanya tathmini ukiona inafaa tafuta ustaarabu mwingine (tathmini ya kina ni muhimu usije jikuta umeacha mbachao kwa msala upitao) maana unaweza jifunga kwa ntu asiyena mpango na wewe
Hakafu 30 mbona bado?
Mleta uzi...furaha yako ipo mikononi mwako. Fanya tathmini ukiona inafaa tafuta ustaarabu mwingine (tathmini ya kina ni muhimu usije jikuta umeacha mbachao kwa msala upitao) maana unaweza jifunga kwa ntu asiyena mpango na wewe
Hakafu 30 mbona bado?
una degree2, watoto wa2, kwa waume wa2.
iyo nimekupa kama angalizo kuwa makini icje ikatokea kwako. uckubali kuzaa tu bila ndoa, jikabidhi kwa Mungu, Na Unaweza Kwenda Kwa Mch.Wako Ukamweleza Nae Atakusaidia. Uctafuta Mume Kwa Kuangalia Vigezo Vya Elimu Ya Kawaida, Bali Mwenye Hofu Ya Mungu.
Kwa Ushauri Zaidi Nipm Au Piga Cm 0786100772, 0757856336
Wazee wa fursa mpo???