pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,636
- 6,261
Mimi ni Mkristo, miaka 30, urefu wa wastani, mweusi, mwembamba. Kabila kutoka kusini mwa tz. Nina kazi na kipato kizuri tu. Nina ishi pekee yangu. Nina gari na kiwanja na if all goes well ninategemea kuanza kujenga mwakani. Elimu nina degree, na kwa sasa ninamalizia masters yangu.
Sijawahi kuolewa na sina mtoto.
Nimekua kwenye mahusiano ya mbali/long distance yapata miaka mitano sasa na mkaka (34yrs) ambae ninampenda na yeye naamini ananipenda ila naona miaka inazidi kuyoyoma bila dalili za kijana huyu kupropose.Tulifahamiana tukiwa chuoni lakini baada ya kugraduate tukapata kazi miji tofauti. Wote ni waajiriwa wa serikalini. Tunawasiliana kwa simu na kuonana ni mara chache mno.
Natamani sana kuolewa na baadae kupata mtoto lakini hilo bado halijatokea. Nikimuuliza anasema bado, nisubiri, kwa sasa familia yake bado inamtegemea.
Najua yote ni mipango ya Mungu na niko tayari kwa lolote alilopanga juu yangu lakini ukweli ni kwamba inaniuma sana kuona wenzangu wa rika langu wana familia na mie. In a sense najihesabu kama I am a single woman.
Naomba ushauri na maneno ya kunipa faraja ili nijisikie siko peke yangu kwenye situation hii.
Mimi hapo kwenye ( bado familiar yangu inanitegemea subiri kwanza) ndo pamenishtua sister akufukuzae si lazima akwambie toka, siku discourage but think twice about your guy he bother your head but you are not bother his head bila hivyo asingekupa jibu la kukatisha tamaa, hivyo najua ulikataa wengi kwa kuwa na msimamo lakini kwa hilo jibu tu tayari amekuacha tayari but follow your instincts.