**** her till she gets dry....
It's always tight when dry...
Hakuyajua kwasababu Sample alizokuwa nazo zilikuwa chacheMnafurahishaga nyie wanaume mnajifanya Wacha mungu for everything kasoro kuchepuka.
Your logic:
Wake wawili [emoji732]
Divorce [emoji732]
Kuchepuka [emoji3581][emoji3581][emoji3581]
Ingekuwa uliuziwa mbuzi kwenye gunia ningekuelewa lakini Haya yote uliyajua Kabla ya kumuoa kwahiyo huwezi kumlaumu.
Jikaze sasa na usianze kumfanyia fujo muachane sababu umeonja vya nje ...
Ndoa na iheshimiwe Mkuu,hata kama hatumfahamu ila kumwandika mkeo hivi binafsi naona si sawa
Hata asipoona, Binafsi japo sijaoa ila naamini ukishaamua kufunga Ndoa tayari inakuwa ni taasisi ambayo siri inabidi ziwe za watu wawili tu, maana hata yeye mkewe anasiri nyingi za mmeweyani huyoo mke wake akiona ata bahati mbaya ni balaaa.