Hapana, dhambi ni pale utakapoacha kuoa lakini unazini. Imagine una hicho kisisimizi, kweli utazini? Itakubidi ukae tu. na ili usijiaibishe na kujidhalilisha, bora ubaki bila kufikiria kuzini.
Ni bora usioe kabisa maana utakuwa mtumwa wa ndoa, utanyanyasika na utakuwa mnyonge siku zote. Sio lazima watu wote waoe. Unaweza kuishi maisha yako ya furaha na amani bila kuoa.