Sikiliza pharaoh_2,una haki kabisa ya kumjua your biological father,ni muhimu sana sana.asili yake ni wapi,kabila lake na ikibidi hata ndg zake.huyo baba aliyekulea ni kwamba amekulea na kukupa mwongozo wa maisha,muheshimu sana sana na umuenzi kadiri ya uwezo wako.Hapana nadhani hujanielewa i respect him as my father lakini kama kutaka kujua mimi ni nani at a first place ni makosa then God the almighty will forgive me, you just got me wrong i guess
Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
Nimekuelewa sana. Kwani ukiwapa watoto kabila la huyo baba aliyekulea watapungukiwa na nini? Identity yako kamwe haiwezi kuwa defined na kabila.Hapana nadhani hujanielewa i respect him as my father lakini kama kutaka kujua mimi ni nani at a first place ni makosa then God the almighty will forgive me, you just got me wrong i guess
Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
Asante sana mkuu atleast you are telling me something n' that's why i like JF because not everyone in here is an asshole ! despite of the discouragement that normally comes from bastards u 'll always find valuable advicesNaamini mama yako aliangalia na fursa ya watoto wake ili msije kuwa na maisha ya tabu katika hatua hii uliyofikia sasa hivi. Nakuhakikishia laiti kama huyu malaika mzee mkuda asingewashukia wewe , mama yako na huyo kaka yako sasa hivi huenda mingekuwa mnahesabika kati ya wale watu wanaoishi katika mazingira magumu.
Au mngekuwa eidha wasaidizi wa biological father kwenye kazi zake za udereva huko au mngekuwa gereji mnajifunza ufundi ili muweze kujihudumia katika maisha yenu ya kujitegemea.
Ila kiuhalisia huyo mzazi unayehisi ndio damu yako hana umuhimu wowote hata ukimjua as long as baba aliyehakikisha katika maisha yako ya baadae unakuwa na good status yupo na bado anawapa ushauri where unapo hitaji.
Usitafute kuchimbua mambo ambayo yatakupa ukweli mchungu katika maisha yako ,ishi kwa amani na puuza hizo rumors alizokupa huyo kibabu wa huko kijijini kwa bibi yako.
Wewe una akili sana jose sijui kwa lipi ila mimi mtu mzima akili zeroKwa uzi huu utafanya wanaume waache kuhudumia single mothers wengine kwa sababu mtu mzima akili zero
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
I don't have any clue about where i can possibly find him or atleast where my other relatives are, because he may even be Dead by now, who knows? Nilipanga nisimueleze hata my brother until i find the whole truth by myself but I'm stuck like how do i get started?? Unajua kuna incidence inatokea hata ndugu wanaoana kwa kua tu kuna vitu vimefunikwa na wazazi for the unknown reasons it's okay that they hid the truth for all that time i mean for more than 20years now, i thought maybe they would think about the necessity to let us know the truth than waiting for us to find it from third parties..Sikiliza pharaoh_2,una haki kabisa ya kumjua your biological father,ni muhimu sana sana.asili yake ni wapi,kabila lake na ikibidi hata ndg zake.huyo baba aliyekulea ni kwamba amekulea na kukupa mwongozo wa maisha,muheshimu sana sana na umuenzi kadiri ya uwezo wako.
so far mama yako hajakueleza matatizo ya baba yako mzazi.
Mtafute baba yako mzazi ujue kwa nini alikutelekeza,lakini nadhani umeandika hapo kwamba alikuja lakini kachezea mkono.
Mtafute ujue kulikoni
Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
I understandNimekuelewa sana. Kwani ukiwapa watoto kabila la huyo baba aliyekulea watapungukiwa na nini? Identity yako kamwe haiwezi kuwa defined na kabila.
Nikukumbushe tu dhambi ni kwa mawazo, maneno na kutenda. Sikuhukumu ndugu, nataka kukumbusha ushikilie sana ulicho nacho kabla hakijakuponyoka ukitafuta yasiyo ya msingi.
Sent from my E5306 using JamiiForums mobile app
Best advice!Ela na nguvu unayotumia kumtafuta uyo mdingi ungetafuta mtoto wa kitaa umlee kMa wewe ulivyolelewa na soldier faza
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
But why would the birds be angry?Nimekuelewa sana. Kwani ukiwapa watoto kabila la huyo baba aliyekulea watapungukiwa na nini? Identity yako kamwe haiwezi kuwa defined na kabila.
Nikukumbushe tu dhambi ni kwa mawazo, maneno na kutenda. Sikuhukumu ndugu, nataka kukumbusha ushikilie sana ulicho nacho kabla hakijakuponyoka ukitafuta yasiyo ya msingi.
Sent from my E5306 using JamiiForums mobile app
poa mkuuSijasema kua simuhitaji huyu mlezi, i'll have to be a devil to say that, but thank you for your cents on this one
Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
Sometime we have to be serious..especially when someone split his heart out to ask for help..lets be faithhfullyKuna yule D.A.B wa koromije naye ana utata na mazazi yake kama wewe ni vizuri mkajiunga na kuanzisha chama chenu.
Okay Asante sana emmaUkosahihi kujua asili yako lakini fanya uo upelelezi bila pupa ikibidi kibusara zaidi naamini utafanikiwa manake uyo mzee akiona unauhitajisana wakumtafuta your real father utamdisapoint..
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Thanks KANA i wish this could be the first advice that i have seen so far, you are heaven sent brotherListen man,
To me, my relatives are those people who stick by my side through thick and thin!
If a friend cares more than my blood related siblings, he's gon have all my respect!
If your so called biological father was wise enough, he would never let his son to be raised by another man. You are the one finding out the truth instead of him coming for you!
The truth is he doesn't deserve a place in your life. He's simply a loser kind of a person.
Don't annoy the military old man, cause he won't feel good when you ask silly questions about your irresponsible father while he's been there for you from the scratch!
Its not a sin to be a chagga, just relax and enjoy this gift called life!
Sometimes, the truth might just hurt you, so keep calm and don't bite more than you can chew!
Deuces!
- KANA -