Sifaa za mwanaume wa ukweli...

Mwanaume wa ukweli anafikisha mkewe na anakua na nyumba ndogo!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kama hujawahi kuunganisha bao 3 , kwa "kupigia mulemule pasina kusopoa!
Wewe u-kidume cha ukweli !
 
Mwanaume wa ukweli anatakiwa awe na wake wanne na sio nyuma ndogo
 
mwanaume wa ukweli hamwamini mwanamke wake. piga ua, chinja, leta ndinga kanyaga.
 

Sifa ya mwanaume ni 6x6 tu hayo mengine ni mbwembwe tu.
 
mwanaume wa ukweli hamwamini mwanamke wake. piga ua, chinja, leta ndinga kanyaga.
samsoni alikuwa mwanaume wa ukweli akamuamini mwanamke wake kilicho mpata....hawa wakina hawaa sio wa kuwaamini asilimia zote bana,ishinao kwa machale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…