HAbarii mabibi na babwana.....haya bana ukipungiwa na wewe pungaa bana,napenda leo kuwapa sifa chache za wanaume wa ukweli na nyie mjazie.....1,mwaname wa ukweli anajua kujali[kuonga],2 mwanaume wa ukweli ana msimamo[akisema yes ni yes no ni no,sio kama bendera ana yumbishwa na upepo 3 mwanaume wa ukweli halumbani na mwanamke,ukishindana kuongea na mwanamke utaaibika[kama anazingua sana mchape vibao sio maneno],...endelea
mwanaume wa ukweli anajali familia yake na ni muwajibikaji kotekote, anapenda na kuilinda familia, anatoa sio mbahiri/mchoyo, anajua watoto watasomaje, ni yule anayejituma kwa shughuli ili kuongeza kipato cha familia, Mwanaume wa ukweli hapendi kulelewa na mashugamami
natafta nikugongeee likemwanaume wa ukweli anajali familia yake na ni muwajibikaji kotekote, anapenda na kuilinda familia, anatoa sio mbahiri/mchoyo, anajua watoto watasomaje, ni yule anayejituma kwa shughuli ili kuongeza kipato cha familia, Mwanaume wa ukweli hapendi kulelewa na mashugamami
Hahahaa ndo ivonethi wao....kumbee
Mwanaume wa kweli anapenda kwa dhati
.......mmmmh,hayaHuwezi kuitwa mwanamme kama mtarimbo ni goigoi so mwanamme wa ukweli ni yule mwenye mtarimbo imara tu!
mwanaume wa ukweli na hekima, anajali na kuheshimu wengine anajali familia yake ampende mkewe muwajibikaji.HAbarii mabibi na babwana.....haya bana ukipungiwa na wewe pungaa bana,napenda leo kuwapa sifa chache za wanaume wa ukweli na nyie mjazie.....1,mwaname wa ukweli anajua kujali[kuonga],2 mwanaume wa ukweli ana msimamo[akisema yes ni yes no ni no,sio kama bendera ana yumbishwa na upepo 3 mwanaume wa ukweli halumbani na mwanamke,ukishindana kuongea na mwanamke utaaibika[kama anazingua sana mchape vibao sio maneno],...endelea
Huo ulikua mtazamo wakehaya nini....nawewe umeafiki