Sifa za watu wenye Group 'O' Ia damu

Sifa za watu wenye Group 'O' Ia damu

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
19,147
Reaction score
43,079
Kwanza kabisa watu wenye group ‘O’ hawalogeki na ukijaribu kuwaloga yanakurudia, ukijitahidi kumloga humuwezi lazima mambo yadunde na mara nyingi wabaya wao wakishindwa huanza kuwapakazia watu hawa mambo ya uongo na kuwachukia bila sababu za msingi hasa baada ya kushindwa kuwaangusha.

Wanapenda kukaa pekee yao na hupenda sana muziki wengine hupenda ajifungie ndani acheze huku anajiangalia kwenye kioo hasa kwa wanawake na wengine hupenda kusikiliza muziki na kuangalia Movie na mara nyingi hupenda kuangalia movie ama kusikiliza muziki wakiwa peke yao hawapendi kampani.

Wana roho ya huruma ila wakipata shida hakuna wa kuwasaidia na ikitokea unadaiwa na group ‘O’ wewe ukimuona Lia machozi, huwa wakiona machozi wanavaliwa na roho ya huruma haraka na wengi wao huwa wamepitia maisha ya mateso na manyanyaso katika ukuwaji wao.

Hawapendi kukaa sehemu zenye mkusanyiko wa watu wengi kwa sababu Hali Ile huwachosha huwa wanapenda kukaa wenyewe ili kutengeneza energy ya ndani na wanahasira sana ni wepesi kukasirika lakini hawapendi kugombana/kupigana na ikitokea amepigana ugomvi wao kuumua ni ngumu.

Mara nyingi watu wa group ‘O’ huwa ni wakarimu na ni wapole kama hawajakuzoea unaweza kufikiri hawaongei ila akikuzoea aiseee wanaongea kama chiriku� NB_ Ni hadi akuzoee na akuamini vinginevyo hutakaa umuelewe.

Pia watu hawa wanapenda maongezi ya kina yenye maana wanapenda kuongelea/kufuatilia jambo kiundani lieleweke hawaridhiki na maelezo ya juu juu pia ni watu ambao hawasahau jambo kirahisi ukiwatendea ubaya lakini pia ni wepesi kupotezea na kusamehe kutokana na roho yao ya huruma na upendo.

Huwa Wana Machale ambayo ni uhalisia wa kitu kinachoenda kutokea hivyo group ‘O’ akihisi kitu lazima kitokee au kama sio Machale wengine huonyeshwa kupitia ndoto na wengi wao wana nguvu za ziada zinazowalinda /mizimu ya kwao ndiomana hawarogeki kirahisi, Anaweza akahisi kabisa kitu fulani kinaenda kutokea ila anapuuza na muda sio mrefu kinatokea kweli wanabaki wanasema nilijuwa ila anashindwa kusema mbele za watu kwa kuhofia kuulizwa ulijuwaje na mbona hukusema kabla hakijatokea.

Ni watu wenye marafiki wachache sana either mmoja au asiwe nae kabisa na rafiki huyo anayekuwa nae unakuta anamuamini mnooo kuliko kitu chochote kile na ikitokea rafiki huyo amemsariti basi huo ndio unakuwa mwisho wa kumuamini rafiki na hawawezi kuwa na rafiki tena, Wakiumizwa na watu wao wa karibu wanapenda kujitenga peke yao kisha huanza kulia kwa uchungu na kwa maumivu makali ambayo huwachoma mpaka moyoni.

Pia ni watu wanaowaza sana kitu kidogo anakichimbua kwa undani hawanaga jambo dogo wewe utaongea utaona umeongea kitu kidogo kwao kinakuwa kikubwa na hii ni kutokana kwamba ni watu wa kutafakari jambo na kulichimbua kiundani wanapenda wajue kwanini umeongea vile na ulikuwa na maana gani.

Wana upendo wa kweli na wapo romantic sana lakini pia wana wivu kupita kiasi ,akiwa hajapata wa kuendana nae huwa ni wachepukaji wazuri ila akiona upo serious na unampenda kweli huwa ni watumivu na wana upendo wa kweli na anapenda uwe wa kwake peke yake pia ni watu wenye ushauri mzuri ukisikiliza ushauri wao hauwezi kufeli, NB: Wanapenda kufanya mapenzi ndio starehe yao kubwa.�

Wanapenda sana kula nyama ni ugonjwa wao na wengi wao sio walevi na hata wakinywa pombe hawapendi kunywa mpaka wajulikane kuwa wamekunywa yaani huwezi kumuona anayumba na wengi wana dini ndani yao na wanatoka familia za dini ila wakishakuwa wakubwa wengi wao hawaendi tena kanisani ama msikitini na hii ni kutokana na kuandamwa na mizimu ya kwao inayowalinda.

Watu wenye group ‘O’ Hawaumwi hovyo na hawaambukizwi magonjwa ovyo. kuhusu Ukimwi, wanapata ila Virus huchukua miaka mingi kuonekana kwenye vipimo vya hospitali kitu ambacho anaweza akakaa na maambukizi kwa miaka mingi bila kujijuwa siku anapima anakutwa na virusi anashangaa imekuwaje.! ukilinganisha na watu wa magroup mengine ambao virusi huonekana kwenye vipimo kwa kipindi cha kuanzia miezi 3 tu.

Darasani huwa hawaelewi sana na hii ni kutokana na speed ya mwalimu hawa watu huwa wanapenda wachimbue kitu kwa undani sana kitu ambacho sio walimu wengi wanawapa wanafunzi muda wa kuchimbua mambo walimu wengi hujibu juu juu kutokana na mda mdogo ila cha ajabu wakielewa kitu wameelewa.

Mara nyingi watu wenye group ‘O’ usiku wakilala mara moja moja huota ndoto wanakimbizwa na maadui lakini huwazidi speed maadui zao ,hawakamatiki kutokana na kuwa na speed kubwa speed inayozidi speed ya ya Bus la mwendo kasi speed ambayo inawapelekea hata kupaa na kupiga hatua ndefu bila kukakanyaga aridhini kama video niliyokuwekea hapo chini upande wa komenti inavyoonyesha.
Facebook
 
Ngoja waongezeke na kundi la introvert na wanajimu uchwara

Miafrika na ujinga:

Screenshot 2025-08-04 122645.png
 
Mimi ni 0+

Ila hii damu inapakaziwa mambo ya uongo mno, yakiwemo hayo kwenye mada, ukweli ni 10% tuu mengine yote ni uongo/imani tuu
 
Sawa
 
Back
Top Bottom