Sifa za watu wa Blood Group O

Nahisi kama unanisema mimi mkuu daaah mimi ni group O positive! Ulivyosema vyote uko sawa
 
Toa reference pia
 
Hii haina tofauti na zile za kusema wanawake wa majina fulani ni malaya

Uongo tu

Ninachojua ni kwamba group O wanapendwa na mbu zaidi

Ilisemekana uwezo wao wa kupata covid ni mdogo

Wanawake wengi wenye mayai mabovu ni O

Uwezekano wao wa kupata heart attacks ni mdogo
 
Uongo! Uongo!
Uongo! Uongo!
 
Napenda:
Pesa kiasi za kutosheleza mahitaji yangu ya kawaida tu
Pombe
Warembo
Kuchapa code

Sipendi
Ndoa
Long term relationship/ mapenzi yenye future ya kuja kuoana
Uongo
Kujimwambafy
Magari

Blood group: O
 
Group la damu halihusiani na tabia ya mtu sayansi inakataa hapo mkuu.
 
Hii ni Kweli kabisa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…