Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,743
- 112,901
Njoo ujenge...🤣Aweeee kwenye miti........
Njoo ujenge...🤣Aweeee kwenye miti........
Yanapenda kufata mkumbo na umbea..Mwanamke wa kibongo analalamika,
"Kwanini wanaume wanataka mwanamke bikra wakati wao hawana hiyo bikra?"
Ukimuuliza,
"Kwanini na nyie wanawake mnataka wanaume matajiri wakati nyie wenyewe ni masikini? Anakukasirikia.
Kafa huyoClassmate mbona jicho lako halina mboni?
Wa Tanganyika mkuuHao ni watanzania wa wapi, Mpitimbi?
😜😜😜😜😜😜Classmate mbona jicho lako halina mboni?
Kwenye hilo jangwa au sehemu nyingine 😊Njoo ujenge...🤣
Classmate kikao chetu cha mwisho tulikataa haya mambo ya kukubali kuitwa mubaba😜😜😜😜😜😜
Hako ndio kale kamenisevu kwenye sim yake "mubaba wangu"
Nikweli kabisa, jangwa la moyoni mwangu lipo wazi kabisa na ukijenga kivulini utatulia......😋Kwenye hilo jangwa au sehemu nyingine 😊
Nikuokotee mawe we mzee 😔Nikweli kabisa, jangwa la moyoni mwangu lipo wazi kabisa na ukijenga kivulini utatulia......😋
Lakini kwenye sim usinisevu "mubaba wangu" kama haka ka Gen-Z kanako nisumbua...😜