*kupika mvivu bora anunue chips
*chumbani stail yao 1-2 anachoka mapema hataki mikikimikiki
*Anapenda kulala
*Maneno mengi mdomoni anapenda kuongea sana kuliko vitendo.
---Mkuu baadae tuletee utafiti wa sifa za wanaume wavivu--
Mvivu ni mvivu lakini hata awe na Bill yake, huwa huwa na gubu kama sio kisirani. Kazi zote humwachia House girl.
Hakika ni bora kaburi kuliko ukutane na species kama hizo
Mvivu ni mvivu lakini hata awe na Bill yake, huwa huwa na gubu kama sio kisirani. Kazi zote humwachia House girl.
Hakika ni bora kaburi kuliko ukutane na species kama hizo