Sifa za wanawake/wadada wanene

This message has been deleted by Masanilo.

mi napata uchungu nikiona hivi jamani
 
Boss:

Kuna kile kipimo kinaitwa BMI, ambacho hugawanya uzito (in kg) juu ya urefu (m) kipeuo cha 2. i.e. BMI = [weight (kg) divide by height-squared (m)]

BMI < 15 - lishe ndogo
BMI = 16 to 20 vipotabo
BMI = 20 to 28 kawaida
BMI > 35 mijimama
BMI above 35 - hawa ndio Boss anawasemea

Piga hesabu halafu ujuwe we ni ji-mama au ji-baba
 


Huyu hapa basi wadau Kimey na Boss nisizidi kuharibu siku

Huyu anatuwakilisha kisize some of us kama mimi na BHT
Jos, avatar yako inafanana sana na huyu mrembo wa warembo. Sijui ni wewe!? Kama ni wewe hongera. Uko mrembo kwa hakika.
 

Mkuu hujakosea kabisa kuhusu sifa za wanawake wanene, ila umezisahau sifa zao nyingine ambazo ni:
- wachafu
- wavivu
- nguo haziwapendezi
- ngumi mkononi
 


Hiyo tafiti inahusu wanawake wa umri wote
wa rangi zote,
viwango vya elimu vyote....
mostly wa kiwango cha kawaida cha kipato...

ask me anything.......
 
Kinyume chake mbona hamsemi jamani kwa mfano mm ni mwembamba so???
 
Okay....leo mada imebadilika au ni ile ile?
 
mwana jiangilie kwanza kama mnaendena isije ikawa kawa ya SISIMIZI kembeba TEMBO nadhani madhara yake wajua.

kwani hapa nilipo Jobag wapo kama hao lukuki nawaogopa ile mbaya.
 
Wanawake wanene hawana kwere,
hawana mbwembwe
hawana nyodo
hawana zengwe
wanajiamini
wanajua kulinda familia
wanajua kulea
wanajua kubembeleza
hawajui kulalamika
hawajui kunung'unika
 
The Boss, nice advert ya wadada wanene! I am sure demand yao itapanda sana weekend hii, maana wakaka kwa kufanya majaribio!
 

Basi na hizi ndio madhara ya kuwa nao:
1. Atawasamehe ma ex- wake wote, hivyo kamwe hautokuwa peke yako, bali utakuwa umeongeza idadi tu.
2. Atawaomba msamaha hata ma ex- wake, ili aendelee kujivinjari nao daima.
3. Huenda pia akikuacha basi hutamuona tena maishani mwako
4. Ole wako ampate aliyempenda zaidi yako, utajuta kumfahamu.
5. Rejea namba 2 hapo juu.
6. Hata wakibanwa kwenye korido wanakubali yaishe.
7. Hivyo sio wachapakazi, na akimpata mtu hutamng'atua kamwe.
8. Hata akiitwa baa usiku hagomi kwenda hata siku moja, na akiambiwa fanya hivi, anafanya shap.
9. Hivyo, hata machokora wanapata access.
10. Hata kupika, kuoga, kutandika kitanda, nk.... wanasahau kwa urahisi mno.
 
Naona unaharibu hali ya hewa hapa sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…