Sifa za wanawake/wadada wanene

Hahahaha itakuwa biliani tu si wajua mambo ya Zenji hayo bila biliani hujafika Unguja.

fide umeelewa hapo?
ndizi nyama,mdada anaanda nyama,kidume unakuja na ndizi
tena ndizi mshale.......
 
mbona nin tabia nyingine similar na hao w athe boss....!!!
nia yangu hapa ni kumwonesha kuwa it is not the size inayofanya mtu awe na tabia fulani....nah nah nah!!!!

Biggy umenionea Masanilo??

Nipo hapa nakuchungulia maungoni Lol!
 
hebu describe tabia zako
labda wewe ni exceptional case.......

hizi hapa

Kwani kuna pilau gani zaidi ya mchele???? Au mwataka niwaonyeshe jinsi yavyoliwa (lafudhi ya kizenj hapa inatumika)......

mhhh.we mzenji?????
 
Tubaki hivi hivi mwaya BHT achana na Boss anataka kutuharibia tu wasifu wetu. Sie tunaroho nzuri kama za hao anaowasifia.
 
Tubaki hivi hivi mwaya BHT achana na Boss anataka kutuharibia tu wasifu wetu. Sie tunaroho nzuri kama za hao anaowasifia.

huu mwili kuupata gharama atiii

ona watu wanavolipia gym huko....sie akhaaa!!!
kwa raha zetu bibie eeeeh!!!
 
Ametoroka kwenye rehabilitation. Gari la konyagi lilipita karibu mpango mzima ukaharibika. The guy is alcoholic!

hahaa kama yule mama ake Tony huyu

chupa tu inamtoa roho.....
 
huu mwili kuupata gharama atiii

ona watu wanavolipia gym huko....sie akhaaa!!!
kwa raha zetu bibie eeeeh!!!

Yani BHT hapo kwenye bluu ndo haswaaa umenena watu wanahangaika gym kila siku sie tukienda gym ni kujikeep fit tu na sio kupunguza unene.

The Boss upo hapo??????
 
sasa unaona.
wenzio wanene wanasamehe tu,regardless ya kosa.......

sasa hiyo unaona ni shortfall ya mtu mwembamba au BHT??

hebu muulize JS tusikie jibu.....hahaaaa lol!!
 
Yani BHT hapo kwenye bluu ndo haswaaa umenena watu wanahangaika gym kila siku sie tukienda gym ni kujikeep fit tu na sio kupunguza unene.

The Boss upo hapo??????

hukunijibu swali hili..
we ni mzenji??
nina weakness na wadada wa kizenji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…